Vita ya kati ya Korea kaskazini na Marekani chanzo chake ni nini?

Qassim14

Senior Member
Oct 10, 2017
182
202
Kwa anaejua lolote kuhusu chanzo cha ugomvi juu ya hizi nchi mbili zenye ubabe mwingi wa maneno.

Kwa anaejua kwa kina na alete uchambuzi kwa hawa watu;
1. Kim
2. Trump

Sababu zipi zinawafanya wasipigane? Na zipi zinawafanya wasikubali kukaa meza moja kisuluhisha utata baina yao?

Kwa anaejua lolote kwa undani atupe elimu ya bure na tujifunze kitu.

Nawasilisha
 
unadhani Fat man likidondoshwa New york City na Punk man likatua Washngton Dc Dunia itakuwepo?

au Mhiroshima wa Trump ukidondoshwa busan sijui wapi kwa Kimjong tu siutasambaratisha korea nzima mpaka na mataifa jirani!!!!

na wakati huo sisi wanyonge tutakua katika hali Gani?
Mungu awape hao viongozi kauli thabiti, wasisababishe maafa kwa wanannchi wasio na hatia
 
Wewe ndiye mwanamke wa kwanza kulikataa jukwaa la MMU na kulipenda zaidi jukwaa la vita hapa JF!!
 
Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted

michezo mara Wwe

Afu ukiniona huwezi nidhania
Usipojifunza kimojawapo angalao wrestling utakuwa hujuitendea haki nafsi yako!!
 
Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted

michezo mara Wwe

Afu ukiniona huwezi nidhania

we ni jembe...jifunze kwanza kujilinda afu endelea kufuatilia hizi vitu
 
unadhani Fat man likidondoshwa New york City na Punk man likatua Washngton Dc Dunia itakuwepo?

au Mhiroshima wa Trump ukidondoshwa busan sijui wapi kwa Kimjong tu siutasambaratisha korea nzima mpaka na mataifa jirani!!!!

na wakati huo sisi wanyonge tutakua katika hali Gani?
Mungu awape hao viongozi kauli thabiti, wasisababishe maafa kwa wanannchi wasio na hatia
missile weapon ya kim yote ikienda woshington dc ivi itakuwaje?
 
Kwa anaejua lolote kuhusu chanzo cha ugomvi juu ya hizi nchi mbili zenye ubabe mwingi wa maneno.

Kwa anaejua kwa kina na alete uchambuzi kwa hawa watu;
1. Kim
2. Trump

Sababu zipi zinawafanya wasipigane? Na zipi zinawafanya wasikubali kukaa meza moja kisuluhisha utata baina yao?

Kwa anaejua lolote kwa undani atupe elimu ya bure na tujifunze kitu.

Nawasilisha
Hivi wewe kwa akili yako NK wanaweza pigana na US. Hii ni sawasawa na Panya kupigana na Simba
 
Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted

michezo mara Wwe

Afu ukiniona huwezi nidhania
nenda kajifunze judo
 
Hivi wewe kwa akili yako NK wanaweza pigana na US. Hii ni sawasawa na Panya kupigana na Simba
wewe hujui kitu kweli N.korea hawezi kupigana na USA lakini itafikia kipindi ataweza kwasababu mojatu marekani anajua akipigana na N.k atashuka kiuchumi mno na akimuacha N.korea aendelee kutengeneza (nuclear weapon) atakuja kuzidiwa baadae n.k itakuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza (missile weapon)
 
Mwamini sana mjeda anaposema kitu.
Kuna Lt Gen mstaafu aliekuwa commander wa vikosi vya jeshi la marekani huko Korea kaskazini, amesema juzi kuwa likija suala la vita baina ya US na kiduku
Amerika itashindwa kwa sababu wanazidiwa sana kwa wapiganaji na ingawa watasambaratisha silaha za kiduku lakini hazitaisha.

Kwa hiyo wehu wa Trump uishie kelele tu na sio action
 
wewe hujui kitu kweli N.korea hawezi kupigana na USA lakini itafikia kipindi ataweza kwasababu mojatu marekani anajua akipigana na N.k atashuka kiuchumi mno na akimuacha N.korea aendelee kutengeneza (nuclear weapon) atakuja kuzidiwa baadae n.k itakuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza (missile weapon)
Nakuhakikishia NK kelele ni nyingi kuliko ngvu za kivita na nyuklia yenyewe. Hayo makombora yaliyojaribiwa ni mangapi yalifanikiwa? US wanachofanya sasa ni kutafuta namna ya kumzika kama Osama bila hata ya kuwapiga raia wasio na hatia. Nukuu maneno yang baada ya hayo malimbano. Siwapendi wamarekani kihivyo lakini hiki kifalme kilichojitenga na ulimwengu na ustaarabu wa dunia ni hatari kwa kila mtu
 
Uchumi wa US utashuka tu vita vikidumu muda mrefu. Mataifa haya makubwa yana reserve kubwa ya kucope na vita sio kama Tz na nduli Iddi Amin miaka hiyo ya 70s. Nakuapia NK hawahitaj Marekan ipigane nayo hata Walmart na supermarket zake anamuweza huyi Kn
 
Hii beef kati ya US na NK it goes way back since the korean war miaka ya 1950's.
Na toka kipindi hicho NK wamekua wakijiandaa kupambana kivita dhidi ya marekani ambaye ndio adui namba moja kwao.
NB: kwenye korean war marekani alikua kwenye losing side kama alivyokua kwenye vietnam war.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom