Vita ya Google na Apple nani Mshindi?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620


Kama unafikiria Google tunaweza kutumia mfumo wa Liquid Glass kuendana na iPhone kwenye vifaa vyetu sahau kabisa ๐Ÿ‘‹.

Hii ndo kauli mpya ya ametoa Bwana Sameer Samat Rais wa Google kwenye masuala yote ya Ecosystem ya Android.



Aliweza kutoa kauli hiyo baada Uvumi kusambaa kuwa Google wataweza kutambulisha Mfumo wa Liquid Glass kwenye Simu za Android, aliweza kujibu kupitia mtandao wa Twitter/ X kwa kusema ;



"Mfumo wa Liquid Glass hauwezi kufanya kazi kwenye Android ". Google imewekeza sana kwenye muundo wake wa kipekee lakini kuna mabadiliko makubwa yanakuja.



Japo baadhi ya kampuni mbalimbali za androd zimeweka mfumo Liquid Glass kwenye Mifumo yao kama vile Oppo / OnePlus, Xiaomi na hata Samsung ila kwa Google wamekataa kabisa unasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ