Paul Makonda
Member
- Jul 8, 2011
- 97
- 185
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.
Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.
Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.
Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Paul Makonda hivi huna haya?
Njaa zitakuua wewr msaka tonge
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.
Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.
Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.
Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Unachekesha kweli kweli Makonda.
Juzi Vijana wa BAVICHA walikukamata vyema. Wamekufukua kweli kweli.
Uzalendo gani unaopigania wewe ukishirikiana na watu wa Richmond uliokuwa kila siku ukitumwa kwenda kuwatukana. Unakumbuka maneno uliyokuwa ukiniambia in confidence kuhusu CCM, Serikali ya Kikwete, uliokuwa unatumwa kuwatukana na waliokuwa wanakutuma?
Unakumbuka maneno uliyokuwa unaniambia in confidence baada ya vipindi vya Tv pale Mlimani kuhusu CCM, Serikali ya Rais Kikwete, wanaokutumia na wale unaotumwa kuwatukana? Najua unakumbuka?
Uzalendo gani huo mnaojenga na hao viongozi wako wanaomaliza twiga wetu bungani au mnafikiri Operesheni Tokomeza ilivyoibua wakubwa zaidi walioko kwenye chama chenu na serikali, mkaamua kuivuruga makusudi ili kuharibu move ya kuwakamata vigogo?
Uzalendo gani mnaojenga na viongozi wanaomtukana Mwalimu Nyerere kila siku mchana na usiku.
Taratibu jamani, mnampiga ngumi za usoni mpaka anashindwa kujibu mapigo.
Hahahaaaaa huyo Makonda ndo nani..!?? Jamani!?