Vita vya Ukrein na Urusi Marekani ameshinda Ulaya

Sasa mbona mleta uzi anasema lengo ilikuwa ni Marekani kuiangusha Ujerumani?!
Killing two birds with one stone - who does not know that Uncle SAM was always petrified by Germany being closer to Russia economically especially in manufacturing sector ie heavy industry - Merikani ilichukulia ukaribu wa Ujerumani na Urusi utakuwa ni tishio kubwa kwa Merikani kiuchumi na mataifa ya Ulaya hayataichukulia tena seriously Merikani - kitu hii ilikuwa inawatisha sana wa Amerikani ndio maana wanafanya njama za chini chini kuihujumu Ujerumani kiviwanda na kiuchumi ili iwe tegemezi kwa Amerika, kwa bahati nzuri Wajerumani na Wafaransa wamekwisha ushitukia mchezo mbaya wa US wa kutaka kuwa zolotesha kiviwanda, kiuchumi ndio maana Ufaransa na Ujerumani wanataka kufufua viwanda vyao vya kuunda ndege za vita na bombers pamoja na silaha nyingine bila ya msaada kutoka Merikani - wali propose Ulaya iwe na jeshi lake linalo jitegemea hiyo inadhilisha kwamba kuna kitu wameishtukia Merikani.
 
Back
Top Bottom