Vita vya Tatu vya Dunia...

Vita vya Tatu vya Dunia...

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,940
VITA VYA TATU VYA DUNIA

Kama ilivyo kwa wanawake, inapokuja kwa wanaume, mwanamke pia anapata sifa (pointi) au kupunguza pindi afanyapo jambo, LOLOTE LILE. Na ‘HAPATI SIFA ( 0 POINT)' yeyote kwa kufanya lile lililo bayana yeye kufanya, au lifahamikalo kama wajibu wake, au ambalo anategemewa kufanya.

MFANO:

Kupokea SMS (-5) ~Kupokea SMS siku zote (isiyotoka kwangu) hupunguza pointi.
Imetoka kwa mshikaji wako wa zamani (ex) (-50), anakuita ‘mpenzi' (-150); anataka mkutane (-80); kwa chakula cha jioni (-200); Serena Hotel (-300); Ijumaa jioni (-6000).

Sawa, umekubali tuangalie movie...action movie (+50); unauliza maswali kila dakika (-20); unaongelea jinsi DENZEL WASHINGTON alivyo mzuri (-50); unasifia zaidi kifua chake (-100); unaacha kuongea (+100); unalala (-500).

Unakubali kunisindikiza kwenda kuangalia mechi ya SIMBA na YANGA Uwanja wa Taifa (+100); unavaa jezi ya YANGA (+200); ila unaivua kufutia siti (-50); unakaa na mimi muda wote wa mechi (+60); ila unaondoka kwa muda kidogo (-20); kwenda kumsalimia rafiki (0); anaitwa Alfred (-500); Alfred anaendesha CELICCA (-6500).

Unapika (0); chakula nikipendacho (+70); chakula ukipendacho (-50); unatumia masaa manne kumaliza kupika (-50); unapika huku ukiwa twitter (-100); una tweet na Aggrey Kimaro (-20,000)
Kujibu SMS zangu (0); kwa wakati (+10); jibu lenyewe ni kaherufi kamoja (-50); unatumia neno ‘K' kwenye majibu yako (-500); nakuuliza ulipo unajibu, "nimetoka na marafiki zangu…" (-200); mmeenda Akemi restaurant (-80); ni marafiki wa kiume, eti ulisoma nao chuo (-800).

Unaenda saluni (0); unaweka ‘weave' (-75,000).

Tunatoka (0); tunakaa pamoja muda wote (+80); ukinywa zanzi (0); mpaka sasa umeshakunywa viroba nane (-60); na unataka vingine vinne (-150); unaamka kucheza (0); unacheza staili ya ‘bend-over' (-90); kwa mshkaji anaitwa Arnold (-200); unarudi lisaa limoja baadaye (-80); bila ‘bra' (UFOO-SARO).

Unafuatilia mazishi ya Kanumba (0); unamsikitikia Lulu na wafiwa wote (0); na kushukuru walau alitoa mchango kwa tasnia ya muvi tanzania (+10); alikuwa mwigizaji bora kwako (+2); unakaa masaa kuangalia picha yake (-80); unagusa TV ukijaribu kugusa uso wake (-200); unatamani wakati wa uhai wake ungekutana na Kanumba (-600); au umpate mwanaume kama yeye (-5000).

Ukijamba (-100) tena (-500).

Umeenda kanisani (0); na Biblia (+100); ukakaa nyuma kwenye kona (-60); ukiegemea ukuta (-80); Biblia umeiweka juu ya uso wako (-100); Unakoroma (-500).

Umekubali kufanya mapenzi (0); umejilaza tu (-600); bila kufanya chochote (-1000); tena bila kutoa mguno wowote (-500); unauliza kama imeshaingia (-6000); na kushituka nikikuambia kuwa tayari nshaingiza (-7000); unauliza kama nshamaliza (-8000); unaanza kuchat na rafiki yako (-9000); katikati ya tendo (-60,000); rafiki mwenyewe anaitwa Jeffrey Jessey (-10,000); Jeff ni mwanamitindo (VITA VYA TATU VYA DUNIA).
 
blinkande-smiley.jpg
 
mmmm nilijua wamarekani washaingia syria na ndege zilizokuwa hazina rubani kufanya yao
 
toka asubuhi mpaka sasa kila member ashapunguza zaidi ya point 2000
 
Hahah,soooo funny jamni,esp pale umepunguza point kibao kisa aina ya gari ya jamaa mwngne...
 
Hahaha Mentor ...hivi tulitakiana heri ya mwaka mpya? ..heri ya mwaka mpya mkuu!
 
Last edited by a moderator:
vipi ni mpinzani wako nini,,mbona point nyingi??

Mkuu Tyta, hayo majina nimetunga tu hata sijui kama kuna watu wanatumia majina hayo mbe..

vipi ishaingia?

Ahaha..mkuu hilo swali linatosha kuvunja ego ya mwanaume kabisa!!!!
*Don't try it at home*

Daah! Nimetoka kapa!
badiebey nisaidie hapa

Kichwa cha habari kimenishtua!

Mh na wewe tatizo unaishi Arusha na mumeo Erickb52 ndio maana kla wakati unawaza shari tu!

Cc: Arushaone, Filipo, Liverpool, Valentina et al...

mmmm nilijua wamarekani washaingia syria na ndege zilizokuwa hazina rubani kufanya yao

Na wewe wamarekani MMU!?? Una ... nini?:sleep:

toka asubuhi mpaka sasa kila member ashapunguza zaidi ya point 2000


Kwa lipi tulilolifanya mwallu!??

hata mimi sijaelewa anazungumzia nini hasa

Cc: brenda18 na miss chagga

Hahah,soooo funny jamni,esp pale umepunguza point kibao kisa aina ya gari ya jamaa mwngne...

Duh ukizingatia una ka-vitz (tena cha mkopo)...mwanaume ana AUDI!!!!!!

Hahaha Mentor ...hivi tulitakiana heri ya mwaka mpya? ..heri ya mwaka mpya mkuu!

Heri ya mwaka mpya Chujio...

Hivi chujio lako lina 'funnel'!???
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa Mentor we mbayaaa....!!!
Ila umesahau kuondoa point kwa kuvuta kama alsha-babe wa ssun!

Unasalimiwa na ankal!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom