we lofa tulia unadhani unavyolelewa Na shemeji yako basi wote tuko hivyo. Tuliza kijambio hichoMna laana nyie vijana wa hotpot na blue band! Mgambo wenyewe wakiwa tight mnajinyea! Maandamano yanatangazwa kila siku hamuendi kisa mnaogopa mabomu ya machozi na virungu. HALAFU MNABWABWAJA TU HUMU JUKWAANI BAADA YA KULA NA KUSHIBA WALI NA MAHARAGE NYUMBANI KWA SHEMEJI YAKO UNAKOISHI!
Kweli mkuu..Wengi wa wanajeshi wetu baada ya vita walikufa kwa kukosa matunzo,Maana walitakiwa kabla ya kuruhusiwa kwenda nyumbani walipaswa wapimwe ili kujua kama wameadhirika na Post-traumatic stress disorder (PTSD)Tatizo ambalo huwapata wanajeshi wengi wakiwa vitani au baada ya kutoka vitani.Baada ya vita wanajeshi wetu waliruhusiwa kurudi nyumbani bila kufanyiwa uchunguzi wa PTSD hivyo wanajeshi wengi walienda kuzua balaa kubwa kwa raia wema huko mitaani na kuna watu wengi sana waliadhirika sana na ujio wa hawa wanajeshi na hatimaye kusababisha wanajeshi wengi kuleta hali ya uvunjifu wa amani,Unywaji wa Pombe kupindukia,Ugomvi mbalimbali ambao wakati mwingine ulisababisha vifo kwa wanajeshi wetu hao!!!Binafsi nailaumu sana serikali yetu kwa kutotilia maanani maisha ya wanajeshi wetu hasa waliopigana katika vita vya kagera,Wengi wamekufa kwa msongo wa mawazo na bila msaada wowote.Na wengine walio hai sasa hivi hata ukiambiwa alipigana vita vya Kagera waweza kukataa maana ana hali mbaya kupindukia hawana mbele wala nyuma.Kinyume na nchi zingine wanajeshi wastaafu wanatunzwa vizuri na wanaheshimika.
Tulia sindano ya kuondoa utoto kichwani ikuingie vizuri!we lofa tulia unadhani unavyolelewa Na shemeji yako basi wote tuko hivyo. Tuliza kijambio hicho
unapigwa mitiTulia sindano ya kuondoa utoto kichwani ikuingie vizuri!
Ni utoto tu akili zikiishajaa kichwani utachaa utoto!unapigwa miti
Kama naona CHUCK NORRIS wa TanzaniaNakuunga mkono kabisa kwa hili la kuandila vitabu na kusimulia ni nini kilikuwa kinatokea uwanja wa vita..
Binafsi nadhani kuna haja ya kutafuta hata waigizaji mahiri wakapewa haya masimulizi wakayafanya kama script za kuandaa MOVIE. Nchi zote zilizoendelea huitumia sana hii..WHY NOT TANZANIA???
Mkuu Echolima.asante kwa simulizi hii.murua. nilikuwa mdogo kipindi hicho lakini kishindo cha vita nilikisia...
Mkuu JokaKuu kuna kitabu nilikisoma kinaitwa "Kuanguka.kwa Fashisti Iddi amini" cha TPH nadhani. Chonde chonde mwenhe nacho au anayejua kinakopatikana ...kilisimulia vizuri sana.
RIP mashujaa waliotutoka.
RIP Kaka Sijui kama uliweza kutimiza lengo lako?Echolima
Hii ni kazi nzuri sana kwetu sote. Hatupaswi kuisahau historia yetu.
Ili kufanikisha uandikwaji na uchapaji wa kitabu najitolea kuifanya kazi ya Professional Typesetting and Graphic Design.
Watunzi na wachapishaji wengi wa vitabu siku hizi wamekuwa hawazingatii muonekano bora zaidi wa vitabu vyao, hivyo huishia kupata mapato duni yanayowakatisha tamaa.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika kubaini, kutambua, kukuza na kuimarisha soko la wasomaji. Kwa kuwa mbinu za kukabiliana na changamoto hizi zote ninazijua, niko tayari kufanya kazi na wewe pia katika hili, kwa manufaa yetu na taifa pia. Tukifanya kazi nzuri ninaamini kwamba Serikali inaweza kutuunga mkono na kukifanya kitabu hiki kuwa sehemu ya vitabu ambavyo vinaweza kuchukuliwa kama mojawapo ya vitabu vya somo la historia kwa shule za sekondari.
Licha ya kuwa mwanaharakati mwanamapinduzi, mimi pia ni mjasiriamali kwenye sekta ya ubunifu.
Trust me. I know what I am saying. You are looking at the goose that is about to lay its famous golden eggs.
Kumbe alifariki!!!!???RIP Kaka Sijui kama uliweza kutimiza lengo lako?
Aisee....??!!RIP Kaka Sijui kama uliweza kutimiza lengo lako?
Kweli nimestushwa sana kuona Status yake imeandikwa RIP.Kumbe alifariki!!!!???
Sio Huyu Echolima!Aisee....??!!
Hebu funguka kidogo, huyu shujaa wetu alifariki?
Aisee RIP MwanaHaki.Sio Huyu Echolima!
Ila ni Bwana mmoja anaitwa [HASHTAG]#MwanaHaki[/HASHTAG] Ndiye ambaye nimestushwa sana kuona Status yake imeandikwa RIP.
Bado sehemu ya tatu inakuja Mkuu.