vita iran na marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kinachohofiwa Kutokea

    Je, dunia inaambiwa ukweli wote kuhusu mzozo wa Iran, Marekani na Israel? Katika uchambuzi huu mzito kutoka Kutoka Maktaba ya Mohamed Said, tunaingia ndani ya siasa za Mashariki ya Kati na kuangalia maswali ambayo mara nyingi hayapewi nafasi ya kutosha katika mjadala wa kimataifa. Profesa...
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

    Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz. Marekani alipiga calculation...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kushuhudia Marekani inashindwa vita na Iran. Wachina na Warusi ni wahuni sana

    Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran. Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi akamuhakikishia hata muuzia. Akamlaumu Putin kua aache kumsaidia Iran,Putin akasema hatomsaidia. Hivi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utawala Iran wapasuka! Vikundi vya ndani vyaleta taharuki, wakipinga Spika na Waziri kukubali kukaa mezani na Marekani kwa mazungumzo

    Vikundi vidogo ndani ya Iran vimeonyesha kuchukizwa baada ya madai ya makubaliano na Marekani. Vikundi hivyo vimeonekana vikifanya maandamano siku ya Jumamosi katika miji kama Tehran na Mashhad. Waandamanaji hao wamewageukia moja kwa moja Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi na Spika wa Bunge...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpambano wa ndege kwa ndege kama movie vile, ya Iran yapigwa chini

    Ndege ya Israel aina ya F-35 yapiga chini ya Iran aina ya YAK-130, yaani wataalam wanaita air-to-air takedown. Hii vita inanipa raha hadi naumwa. Kwenye maonyesho ya kijeshi mataifa hupenda kuonyesha mindege ikipita, ila sasa hapa huu ndio uhalsia wenyewe, nani ndiye top-dog, ndege ipi ndio...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndege 100 zatumika kufumua ikulu ya Iran kwa mabomu 250, ilikuwa jengo sugu tena kubwa

    Mipango yote ya nchi ilikua inaratibiwa hapo, jengo ambalo kwa ukubwa lilikua limechukua barabara yote, Iran inarudishwa nyuma miaka mingi sana. Ndege za Israel zimeteka anga yote, maeneo yote nyeti hakuna itasazwa. ===== The Israeli military said on Tuesday that it carried out airstrikes on...
Back
Top Bottom