Vita vya DRC, nani mwenye faida?

Vita vya DRC, nani mwenye faida?

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Trump, rais wa marekani, alisema DRC inapigana na Rwanda.

Congo ina rasilimali nyingi sana, ambapo inasemekana ndo nchi tajiri duniani kwa madini.

Lakini, haina jeshi la kuilinda. Mjirani wenye ubavu,wanapenya na kujilia kilaini.

Nchi kama DRC,ilitakiwa iwe na jeshi imara,kiasi kwamba hakuna jirani ambaye angejaribu kuichokoza.


Hapo wanaofaidi matunda yake ni wengine. Na kwa makubaliano ya awali ya amani, inaonekana Rwanda imefaidi kuliko DRC. Mbaya zaidi, imekaribisha wezi wakubwa sasa.
 
Back
Top Bottom