Vita Vikuu vya Nafsi Yangu

Sawa mkuu nitalizingatia.
 
Umehama maeneo hayo au bado upo? Wew unatakiwa uondoe watu flan katika maisha yako kabisa wasitokee yan
 
Umehama maeneo hayo au bado upo? Wew unatakiwa uondoe watu flan katika maisha yako kabisa wasitokee yan
Ukweli nilihama ila Nahisi sikuwahi kukaa kuchakata ni kwa namna gani waliharibu saikolojia yangu. Kwa hiyo nilibeba mwili wangu ila walikua ndani ya mawazo na hicho ndo kifungo nilicho ishi nacho. Sasa naona mwanga japo ni hafifu ila naona ninaweza kuyaacha yote na kuanza upya
 
Kwa eficiency ya tukio hilo itakuwa ndugu ndo wamekumenya mkuu. Sema 20 years now bado una kinyongo au kwenye matukio ya kiukoo unaenda? We ulitakiwa ufutike kabisa
 
Kawambie pia Infroprenour na Kiranga mwenzie kuwa sifa na utukufu apewe aliye juu kabisa(YESU KRISTU) Pilato mwenyewe alimwandika YHWH
 
Kwa eficiency ya tukio hilo itakuwa ndugu ndo wamekumenya mkuu. Sema 20 years now bado una kinyongo au kwenye matukio ya kiukoo unaenda? We ulitakiwa ufutike kabisa
Mimi naona labda kama nilivyo Sema awali sikukaa kujua jinsi mambo yalini athiri sana. Na kingine ni kuwa kukimbia ilikuwa ni kama dhana ya kutafuta amani nje yangu. Hata kuandika hapa tu haikuwa rahisi miaka 2 iliyopita nisinge weza kabisa.
 
Pole mkuu,
Katika suluhu zote ulizoandika kwamba umejaribu kutafuta, sijaona kama umejaribu msaada wa wataalam wa afya ya akili. Ushauri wangu nenda hospital za serikali, ulizia kitengo cha afya ya akili na utarudi kunishukuru.
Nina shuhuda mbili tatu za watu waliosaidika huko, maana tatizo lako linaonekana ni la ki saikolojia zaidi. Please usitumie hawa wa mitandaoni, nenda hospital.
 
Nashukuru kwa ushauri, ila scenario yangu siyo ya kufikia kutafta daktari. Na therapy nayo ifafuta siyo ya kuelezea matatizo because Tyr nimeshajua chanzo. Most therapist wa kibongo huwa na tamaa ya hela tu. Kuna jamaa alifiwa na mkewe ila alizunguka kwa Hao jamaa bila kupona, alikuja kupona baada ya kufanya arobaini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…