Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

Mimi nilisema nikaonekana mjinga ... Ali Kiba ALIKAKODI WATU !!!
 
japo mimi siko upande wa Kiba ila hainiingii akilini kuwa kiba alikodi watu.
Sidhan kama inawezekana akodi watu wajae costa 20 zote..
 

karibu katika ulimwengu wa smartphone.
 

Hiyo barua ya court order iliwafikia Clouds media au prime time promotion?
Ni kweli barua ilipelekwa kwa wahusika au iliishia kusambazwa kwenye mitandao?

Ninge washauri Times FM waachane na haya malumbano maana haya saidii kabisa ni bora watafute Msanii mwingine tuu waendelee na mambo yao hii case itawapotezea muda!
 

Mfano wako ni mwepesi na umebeba ujumbe mzito, tukaweka ushabiki pembeni wenye akili timamu washakuelewa
 
Ni ujinga ufinyu wa kufikiri kuamini kuwa watu walikodishwa. This is very cheapest story no one will buy it.
 
Ina maana na mimi nililipwa!
Manake hata mimi nilimzomea vizuri tu.
 
Ina maana na mimi nililipwa!
Manake hata mimi nilimzomea vizuri tu.

hahaha inawezekana watu flani walilipwa wakalianzisha afu kwa vile domo hapendwi na nyie mkajikuta mnazomea...
 
na katika hizo costa 20 hakuna hata mmoja liyekiri hadi sasa hivi? badala ya kuendela kuwa tetesi?
 
Nilitaka kusema huyo lakini wataiweza gharama yake???

Kwani nowdayz wizkid anataka dau la sh ngapi? Huyo ataletwA tu kama sio na times basi na wazee wa kusambaza upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…