Vita mpya mashariki ya kati

Khaibar

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
1,263
Reaction score
3,793
Mnamo tarehe 28 Februari 2026 saa tatu asubuhi Israel imeshambulia Iran mjini Tehran wakiita ni shambulio la "pre emptive strike". Shambulio limepewa jina la "Operation Judah".
Maeneo yaliyoshambuliwa ni makazi ya Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na kiongozi wa dini na kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei.
Hadi sasa Iran haijasema lolote na haijulikani hali ya Rais na Supreme leader zipoje.
Raia wa Israel wameaswa kukaa karibu na bomb shelters na maeneo watakayoweza kujificha kirahisi.
Pia haijajulikana kama shambulio ni la mamluki wa ndani ama ni la ndege.
Vyanzo vya taarifa: Al mayadeen,Al jazeera,BBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…