Vita kusimama muda wa siku 45

Vita kusimama muda wa siku 45

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,789
Reaction score
14,372
Naona America kajitahidi kwa kutumia pressure kwa nchi hizi Oman, Egypt, Pakistan na Turkey na nchi za Europe wamuambie Iran dunia inapata tabu sana akubali kusimamisha vita kama 1st step ili badaye waje na solution ya maana moja wapo ikiwa nikuondolewa vikwazo Iran. Trump alianza mpaa kulia eti atatumia Nuclear Iran wala hawakujali

Bada kidogo tutasikia America anasema Iran ndio kaomba vile hahaha

Tatizo Israel wanahara debe ikiwa USA na Iran watafanya deal hapo ni kama kuwapa green light Iran waimalize Israel

View: https://youtu.be/7KfodUArUD8?si=l-v4udKxFzJNBZJ5

==========

Iran and the United States have received a plan to end hostilities that could come into effect on Monday and ‌reopen the Strait of Hormuz, a source aware of the proposals said on Monday.

A framework to end hostilities has been put together by Pakistan and exchanged with Iran and the U.S. overnight, the source said, outlining a two-tier approach with an immediate ceasefire followed by a comprehensive agreement.

"All elements need to be agreed today," the source said, adding the initial understanding would be structured as a memorandum of understanding finalised electronically through Pakistan, the sole communication channel in ⁠the talks.

Axios first reported on Sunday that the United States, Iran and regional mediators were discussing a potential 45-day ceasefire as part of a two-phase deal that could lead to a permanent end to the war, citing U.S., Israeli and regional sources.

The source told Reuters Pakistan's army chief, Field Marshal Asim Munir, has been in contact "all night long" with U.S. Vice President JD Vance, special envoy Steve Witkoff and Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi.

Source: Reuters
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
 
Damu za binadamu zinazomwagika!!
Hapo wangemuliza America kabla ya vita Oman alifanikiwa kupata point ya Iran kuwachana na Uranium lakini Israel ndio aliye mtia pressure America aingie kwenye vita balaa yote ni yule Shetanyahu

Iran ilikubali wakati wa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani kutoweka kamwe uranium iliyorutubishwa, alisema waziri wa nje wa Oman sa kitu gani America atapa zaidi ya hapo safari hii ananza lia lia fungua Hormuz hahaha
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Je wameweka hao vibaraka wao? Hayo sio mabadiliko, lengo lao ni kiweka kibaraka ili waweze icontroll iran, sasa hapa hawana kauli wala ushawishi kwa uongozi uliopo
 
Kawasikilize maveteran wa CIA na Wanajeshi, wanakumbia baada ya hii vita Iran atakuwa too Powerful.Kama hujui hamna mistakes waliyo Iran US na Myahudi kumungamiza Khamenei matokeo yake baada ya kugawanyika,wananchi wameungana yaani mpaka hapa Iran ameshashinda. US alifanikiwa Iraq na Libya ,wananchi waligawanyika na kuichukia serikali zao kwa Propaganda za uongo, then baada ya hapo ikawa rahisi kwa wao kuingia na kushambulia kwa Iran kwa Iran wamechemka.

Kama wiki mbili zilizopita CNN walikuwa wanajadili juu ya muundo wa uongozi wa Iran, kwani pamoja na viongozi wao kuangamizwa ila Iran bado haijapotea kwenye vision yao na ndio maana ukiitizama hii vita,Iran hajataka kuomba sijui mazungumzo ya usuluhisi,ila walio anzisha ndio wanahangaika, wamejaribu kuongea na Oman,Turkey, China waongee na Iran, ila Iran kakataa.

Mfereji ule wa Hormuz unakuja kuiumiza dollars, kwani baada ya hapo watu watakuwa wanalipa kwa fedha ya Iran na Yuan,huu ndi ushindi mkubwa sana mbele ya US. Hii vita ukiwasikiliza Maveteran wa jeshi na yule mkuu kitengo cha Counterterrorism aliye jiuzulu,unakuja kugundua US alishawishiwa na Myahudi kuipiga Iran na kupewa taarifa za uongo juu ya uwezo wa kijeshi wa Iran,yaani US hata wao hawakuwa na taarifa sahihi juu ya uwezo wa Iran na wote wanaamini US hii vita yeye ndiye atakaye rusha taulo. Hata wale Mageneral kumi na mbili walio ondolewa, wanapinga US kuingiza jeshi kwenye ardhi ya Iran,kwani wanaamini kufanya hivyo ni sawa kuwafungulia geti la Jehanum wanajeshi wa US.Sasa ukiona mpaka Trump anakorofishana na Magejenerali wake na kuvurugana wao kwa wao, mpaka hapo kuna dalili kubwa hii vita US anaenda kutupa taulo.
 
Puppet mara nying hawawekwi na wao. Wanawekwa na wananchi.
Wakishakuwa Viongozi sasa.
Wao USA wakiwa na interest flan wanawafuata na kuwaelekeza wafanye ABC.

Viongozi wakikataa kufanya nao hizo maelekezo na Deal . Ndio chokochoko zinaanza na majibizano yanaenda Public. Ila kama viongoz wakifanya interest za USA unakuwa rafik wao.

Refers na UAE vs USA na deal zao.

Iran na nchi nying za Middle East kwa Miongo kadha wa kadha zilikuwa hazifuat sera wala kuwa marafik na USA.

As we speak . Gulf Region zote na Middle East ziko rafik na USA. Ilibaki Iran.

Refers pia Iraq ya Sadam Hussein, Afrighanistan . Na mahusiano yao na USA sasahivi.
hadi leo hii zaid ya wanajeshi 2,500 wa Marekan wako Iraq pekee. (Kwa kipind kile vita inaanza hili jambo ulihisi linawezekana?) Bila shaka hapana. Ila Limewezekana.

Thats how Siasa za USA works.
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Nchi za Gulf states ikisha vita watamfukuza America we tulia utaona
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Una comment kama umekunywa maji ya chooni kama wewe ndiye mshindi kwanini uombe Pooh wewe !?

Anayeshinda ndiye Huwa anampangia mtu Cha kufanya acha kuwa kiazi
 
Kawasikilize maveteran wa CIA na Wanajeshi, wanakumbia baada ya hii vita Iran atakuwa too Powerful.Kama hujui hamna mistakes waliyo Iran US na Myahudi kumungamiza Khamenei matokeo yake baada ya kugawanyika,wananchi wameungana yaani mpaka hapa Iran ameshashinda. US alifanikiwa Iraq na Libya ,wananchi waligawanyika na kuichukia serikali zao kwa Propaganda za uongo, then baada ya hapo ikawa rahisi kwa wao kuingia na kushambulia kwa Iran kwa Iran wamechemka.

Kama wiki mbili zilizopita CNN walikuwa wanajadili juu ya muundo wa uongozi wa Iran, kwani pamoja na viongozi wao kuangamizwa ila Iran bado haijapotea kwenye vision yao na ndio maana ukiitizama hii vita,Iran hajataka kuomba sijui mazungumzo ya usuluhisi,ila walio anzisha ndio wanahangaika, wamejaribu kuongea na Oman,Turkey, China waongee na Iran, ila Iran kakataa.

Mfereji ule wa Hormuz unakuja kuiumiza dollars, kwani baada ya hapo watu watakuwa wanalipa kwa fedha ya Iran na Yuan,huu ndi ushindi mkubwa sana mbele ya US. Hii vita ukiwasikiliza Maveteran wa jeshi na yule mkuu kitengo cha Counterterrorism aliye jiuzulu,unakuja kugundua US alishawishiwa na Myahudi kuipiga Iran na kupewa taarifa za uongo juu ya uwezo wa kijeshi wa Iran,yaani US hata wao hawakuwa na taarifa sahihi juu ya uwezo wa Iran na wote wanaamini US hii vita yeye ndiye atakaye rusha taulo. Hata wale Mageneral kumi na mbili walio ondolewa, wanapinga US kuingiza jeshi kwenye ardhi ya Iran,kwani wanaamini kufanya hivyo ni sawa kuwafungulia geti la Jehanum wanajeshi wa US.Sasa ukiona mpaka Trump anakorofishana na Magejenerali wake na kuvurugana wao kwa wao, mpaka hapo kuna dalili kubwa hii vita US anaenda kutupa taulo.

Nikiri ule mfereji ndio unawapa nguvu.
Na counter measure ya USA wameona washirikishe nchi jiran na sio kwamba USA katupa Taulo.

Plan A ya kufanya wananchi waingie Mtaan wamefeli. Lakin pako na Plan B.

Viongozi watakaowekwa kwa namna moja wataenda na interest za USA. Kidogo kidogo . Kimya kimya kama ilivyo kwa nchi zote za upande ule.

Kusema hii Vita inafanya Iran kuimarika kwa sababu wananchi wanaungana. Sijui umefikiria upande gan?.

Wakat Kiuchum imeporomoka vibaya sana tangu vita vianze.
 
Una comment kama umekunywa maji ya chooni kama wewe ndiye mshindi kwanini uombe Pooh wewe !?

Anayeshinda ndiye Huwa anampangia mtu Cha kufanya acha kuwa kiazi

Ngoja tuone mm na ww nani ni Kiazi.

Kwanza tuanzie hapa.
Mfereji wa Harmuz ndio kitu pekee alichobakiwa nacho Iran. Au kuna kingne?.

Bila shaka Hapana.
Hizi unazoona zinaendelea ni propaganda. Siasa.
Hata kabla ya USA na Israel kuivamia Iran . Hizi propaganda zilikuwepo na ayatolah akakataa kwenda na matakwa ya kina USA.

Kilichofuata ni Force .

The same way itatokea Harmuz.
Sasahiv wanaombwa wafuate maelekezo na ikishindikana ni force na namna nyingne itatumika.

So far majadiliano yako mezani, hata kama USA hayuko mezan moja kwa moja. Ila jua yoote watakayowekwa mezan na kukubaliana . By the end of the Day yatamnufaisha USA.

Sasa hapo nani kashinda?.
 
Wee jamaa bhana acha kuchekesha basii force Gani ambayo USA ataitumia !?? Wakati hapo middle east kabondwa mpaka kala uchochoro ndege zake now Kila kukicha zinageuzwa scraper

Iranians hapo Hormuz wana chaji billion 2s ili tu meli Moja iweze kupita Kwa Siku unadhani zikipita meli Kuni ni sh.ngapi !? 😀😀.

Haya tukija Kwa huyo kubwa jinga USA hivyo vitisho tangu aanze kuvitoa ili Iran waachie hapo Hormuz mbona hawafuati hivyo vitisho!? Kila siku hawafungui na meli hazipiti mpaka zitozwe billions and still unajidanganya tu kwamba Iran they will be defeated ikiwa wote tunaona USA katengwa mpaka na EU community ambayo ndiyo aliyokuwa anaitegemea impe back up So wakumsaidia USA ninani !? USA kaishia kubweka bweka tu kama mbwa wale wa manzese 😄😄

Hebu amka kwenye hiyo ndoto unayoiota usije ukajikojolea ndugu
 
Nimesoma comments zako za nyuma.
Nimeona hoja zako zimejikita ndan ya Chuki uliyonayo dhidi ya USA kiasi cha kufanya uwe kipofu na usione hali halisi.

Muda ni Mwalim mzuri.
tutarud hapa soon kuona namna huu msala wa Harmuz itavyosawazishwa.

Maana ndio pekee kilichobaki.

Talking about ndege vita za USA.
Hivi Ni ngap vile wameziangusha toka tar 28? .
Kuna damage nyingne zaid ya hizo ndege?.
Alaf ukimaliza kupata jibu linganisha VS gharama ya kuuliwa Viongoz wa Iran.
Utaona lipi ni zito.
 
Nikiri ule mfereji ndio unawapa nguvu.
Na counter measure ya USA wameona washirikishe nchi jiran na sio kwamba USA katupa Taulo.

Plan A ya kufanya wananchi waingie Mtaan wamefeli. Lakin pako na Plan B.

Viongozi watakaowekwa kwa namna moja wataenda na interest za USA. Kidogo kidogo . Kimya kimya kama ilivyo kwa nchi zote za upande ule.

Kusema hii Vita inafanya Iran kuimarika kwa sababu wananchi wanaungana. Sijui umefikiria upande gan?.

Wakat Kiuchum imeporomoka vibaya sana tangu vita vianze.
Hamna mistakes mbaya kwenye taifa lolote kama wananchi wakipoteza uzalendo, kwani adui anaweza kuitumia hiyo weakness kupenyeza ajenda zake hata kuipindua serikali.Ndio maana hata US alianza kuwafarakanisha wananchi na serikali, wakiamini baada ya kuishambulia kwa kumuondoa Khamenei then mpasuka utazidi kuwa mkubwa ila imekuja kuwa Vice Versa.

Sasa huoni dollars nayo inavyo poromoka au vipi uchumi wa US na Myahudi unaimarika?Pili hata dominance yake hapo middle east inaenda kupotea,kwani sizani baada ya hii vita kuna nchi itakubali US aweke base zake.

Tupo hapa US hatofanikiwa kuweka kiongozi yoyote Iran, (ukipata muda angaliaga hata mijadala ya CNN,BBC,Al Jazeera nk mule kuna maveteran wa kijeshi,wachambuzi wabobezi wa kiuchumi wanachambua future ya hii vita au kwa faida yako mfulie Prof Sachs huyu Proffesa alikuwa mshauri wa marais zaidi ya mia moja wakiwemo na maraisi wa US au US Marine Scott Ritter ambaye alikuwa mpelelezi Iraq).

US katupo taulo,kwani malengo ya vita ilikuwa kiwashirikisha majirani? Si waliamini wanauwezo wa kumuondoa Khamenei na kuweka utawala wao.Ule mfereji unaenda kumpa nguvu Iran na plan pale kila meli ya mafuta itakayopita pie itakuwa inachajiwa kwa fedha za Yuan au Iran (equivalent to USD 2m kwa meli),sasa pata picha asilimia ishirini ya mafuta duniani kote yanapita pale, ushajiuliza Iran kwa mwaka ataingiza kiasi gani?
 
Back
Top Bottom