Vita kali inayoendelea Hollywood

Vita kali inayoendelea Hollywood

Phase iliyopita ilikua ni phase 3 now 4. Avge of ultron ipo phase 2
Joss whedon mwenyewe anasema yeye ni workholic akianza kazi kaanza ndio maana Cast ya Justice League akiwemo Josson momoa,Ray fisher, Gal gadot wamekua wakimtuhumu kua anawafanyia harassment wanapokua kwenye kuigiza.
But kwakweli Avangers an Ultron ni muvi amabazo Joss kazisuka vyema kuanzia directing hadi dialogue (screenplay)
Nadhani kinachomchosha ni kwakua hua anadirect na kuandika mwenyewe script
Phase 2 yote yeye alikua kama Consultant Director ndio maana kuanzia Thor dark world,Winter soldier,First avenger, Thor zote kuna mkono wake

Hapana Ule upanga alioushika Dane Whitman kwenye Comics pia hua unatoa sauti na sio yeye pekee aliyewahi kuutumia. Wamefanya twisting kumu introduce Blade lakini pia mbona muvi ya balde ipo Kwenye development muda mrwfu tu sema tu kumyo Merhashala ali hakuna actors wengine waliokua confirmed. Btw naona instructions iliyomo kwenye eternal ni ya mdogo wake thanos pekee Eros starfox

DC upande wa film inabidi wafanye transformation kubwa sana kuanzia huko kwenye parent company WB.
X men soon wanaingia MCU ndio maana mwendelezo wa Xmen movies umesitishwa ili character warudi nyumbani tumeanza na Deadpool na Fantastic 4

Hua sipo excited na muvi za DC na sababu kuu ni Warner Bros ndio wanawavurugia creativity team ya Zack Snyder. Ngoja tuone labda inaweza kua much interesting kama Aquaman

Age of Ultron ilisukwa aisee binafsi nilikubali humor ya mle hasa hasa ultron... alikuwa ana maneno flan hivi utafikiri sio AI
Vile ana personality ya stark mambo yakazid kuwa matamu.
Nilipenda hii quote

“As I always say, keep your friends rich and enemies rich and wait to find out which is which.”
 
Age of Ultron ilisukwa aisee binafsi nilikubali humor ya mle hasa hasa ultron... alikuwa ana maneno flan hivi utafikiri sio AI
emoji28.png

Vile ana personality ya stark mambo yakazid kuwa matamu.
Nilipenda hii quote

“As I always say, keep your friends rich and enemies rich and wait to find out which is which.”
James Spader aliwezea sana hii muvi na sauyi yake very interesting
Kunasehemu alisema
"This is exactly what I wanted, all of you against all of me"
Humu JF sidhani kama kuna shabiki wa marvel kunizidi asee.. Yaani nawajua kaa vile nami nipo kwenye board ya uzalishaji Marvel studios
Screenshot (71).png
 
Hua sipo excited na muvi za DC na sababu kuu ni Warner Bros ndio wanawavurugia creativity team ya Zack Snyder. Ngoja tuone labda inaweza kua much interesting kama Aquaman
Sure bro, WB inabidi wakae pembeni kama Disney, wasiingilie creativity ya madirectors especially Zack Snyder.
Halafu pia, maoni binafsi, ni kama WB wanaiga "what works for MCU", ndo wanataka hicho hicho kiwe implemented kwenye DCEU, bila kujua kuwa hizo comic universe mbili zina tone na approach tofauti kwa kila comic character.
 
Phase iliyopita Joss Whedon alisema Avengers zile mbili specifically ya Pili ambayo ni Age of ultron ilimchosha haijawahi kutokea alikuwa anafanya kazi usiku mchana alichoka kiasi sio cha kawaida, mwili wote ulikuwa unamgomea mzee wa watu.

Eternals: Spoiler alert
Eternals post credit Imetoka sauti ambayo watu wanasema inasemekama kuwa ni ya Blade kwahiyo siku za usoni atakuja Black Night, Blade na Mutants watakuwa introduced pia ndani ya MCU maana copyrights kwa Fox ndio tushachukua hivyo binafsi naona DC wameshaachwa mbali sana

Hata hiyo Black adam ya DC itakuwa ni Flop tu, naweza nkawa sipo sahihi ila DCEU sikuhizi wamepoteana kbs
maendeleo ya DC yanalogwa na Warner Bros tu!
 
DC wana characters wazuri ila hawana ubunifu. character ya wonder woman ingepata director mzuri ni kali sana. Sasa wametoa ile Wonder woman 1984 mbovu kabisa. Suicide Squad ya kwanza walizingua kabisa, japo wamejirekebisha hii mpya. Ile Justice League walizingua hadi ikabidi watoe director cut.

Lakini ni kampuni yenye pesa, wanaweza kununua talent yoyote, bila shaka watajirudi na kutoa movie nzuri kama zilivyo animations zao.
 
Suicide squad ya kwanza ndio Kali iyo ya pili mbovu ya kitoto
 
James Spader aliwezea sana hii muvi na sauyi yake very interesting
Kunasehemu alisema
"This is exactly what I wanted, all of you against all of me"
Humu JF sidhani kama kuna shabiki wa marvel kunizidi asee.. Yaani nawajua kaa vile nami nipo kwenye board ya uzalishaji Marvel studiosView attachment 2008163

Jana tulivyoziongelea ikabidi nikajikumbushie mambo fulani

Thanos: You Couldn't Live with Your Own Failure, Where Did that Bring You? Back to Me

Huyu jamaa alikuwa lazima atoe bonge la Monologue kabla ya kusambaza Dose
IMG_0334.jpg
 
Jamaaa katupiga kamba balaa sema bahati yake mwandishi hayupo humu ngoja nimuache. Ila kwa kuweka mambo sawa..
Zack Snyder sio mwenye sauti kuu DC ni kiongozi kwenye upande wa creativity yaani DCEU. Warner bros ndio wenye sauti na ndio wanasababisha kufeli kwa DC kwakua hawampi full control ya creativity Zack Snyder. Na muvi za DC hua haziigizwi usiku bali ni tone Color tu walio ichagua DC ili kuweka radha tofauti.
Umempamba Stan Lee lakini ukae ukijua yeye hahusiki kwenye creativity ndio maana hua credited kama Executive producer/Creator
Creativity team ya Marvel inaundwa na Kevin Feige, Victoria Alonso,Lois despacito,Stephen Broussard, Nat Moore,Jonathan Schwartz,Trinh Tran,Bran Winderbaum na kipindi cha nyuma hasa phase 2 alikuwepo Josh whedon
Mpango mzima wa muvi 22 kwa miaka kumi zenye storyline moja umeundwa na vichwa vitatu ambavyo ni Avi Arad, Sami Raim na Kevin Feige ambae ni Boss wa Marvel studios.

Paragraph yako ya mwiso ndio umeongea uongo mkubwa sana...Looh hadi aibu.
Marvel ilikua haina hela kabisa miaka ya 90 huko so ilikua inauza baadhi ya characters wake ili kuendesha Kampuni. Mfano iliuza Spiderman na Venom kwa kampuni ya Sony, ikauza XMen na Fantastic four kwa 21th Fox yaani marvel inapata kitu kama asilimia 10% tu kwenye mauzo ya hao characters. Mwaka 99 Marvel ilitoa muvi ya Blade hii muvi iliuza kiasi chake na hii ndio pesa zilizopatikana ziliwezesha kuanzisha marvel studio mwaka 2007. Kama kawaida Disney ni wazee wa kunusa hela tu kama walivyoinusa kampuni ya Pixar animation wakaichukua hivyo basi mwaka 2009/10 Disney rasmi iliinunua Marvel studios so Marvel character wote wapo chini ya Disney. Hivyo Boss wa Marvel anapokea naelekezo kutoka kwa CEO wa Disney ambae ni Bob Igler. Disney wenyewe wanachohusika kwenye Marvel studio movies wanakua kama wasambazaji (Distributor)
Hivyo basi Marvel studios ni stand alone studio inayojitengenezea muvi zake hata Bob Igler hahusiki kwenye creativity yeye anapewa taarifa tu kama boss kama kuna promotion na pesa zinatakiwa yeye ndio ana issue

Mwaka 2019 rasmi kampuni ya Disney ilinunua kampuni ya 20th Fox na 21th Fox hii ina maana character wa marvel waliopo Fox kaa vile Deadpool,Xmen na Fantastic four wote wapo marvel/Disney. Sio hivyo tu Hata James Cameron yupo chini ya Disney maana muvi zake zote za Titanic na avatar zote zilikua fox sasa zinamilikiwa na Disney.

WanaBros wao ni wamiliki na wasambazaji wa DC movies

Ngoja niishie hapa maana mwandishi halisi hyupo humu so ni kazi bure kukosoa
Mwandishi halisi ni nani?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
James Spader aliwezea sana hii muvi na sauyi yake very interesting
Kunasehemu alisema
"This is exactly what I wanted, all of you against all of me"
Humu JF sidhani kama kuna shabiki wa marvel kunizidi asee.. Yaani nawajua kaa vile nami nipo kwenye board ya uzalishaji Marvel studiosView attachment 2008163
Kaka mimi nakuzidi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa James Cameron mbona haujataja kazi yake ambayo ndio ilimpa jina kweli kweli, THE TERMINATOR aliyoigiza Arnold Schwarzenegger.
Nadhani hii ndio ilimtambulisha kwenye ulimwengu wa filamu, na titanic akaja kubutua mkwanja wa kwenda....
 
21 st century long way baaack bado wadogo ukisikia tuuu ule mlio wake unakaa fresh uangalie vidio.
 
Avengers waliponikosha zaidi ni Introduction ya Black Panther kwenye Civil War, that was quite an entrance.

Pepper Potts should be Iron Lady kutokana na historia yake na Iron Man, naye aliingia vizuri sana pale kwenye final battle, sikujua kama alikuwa na suit yake special.
 
Back
Top Bottom