Vita imeanza kusambaa?

Vita imeanza kusambaa?

Unafahamu kuwa Marekani na China wamewahi kupigana ?
Lini na wapi? Kwamba Mmarekani amshambulie mwarabu alafu mchina sijui mkorea au Mrusi aingilie?

Hakuna kiongozi mpuuzi duniani atafanya ujinga kama huo. Alifanya Nyerere tu akatuacha maskini.
 
China hawezi jiingiza kwenye migogoro isiyo na maslahi kwake haswa inayohusisha uwepo wa USA...
 
Truth, Justice and humanity belong to those who l
Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China.

Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu.

Takwimu zilionyesha kuwa katika kila safari, ndege hizo ziliruka kuelekea magharibi kando ya kaskazini mwa Uchina, ikivuka hadi Kazakhstan, kisha kusini hadi Uzbekistan na Turkmenistan na kisha kupotea kwenye rada zilipokaribia Irani.

Ili kuongeza fumbo, mipango ya safari za ndege hizo ilionyesha kuishia Luxembourg, lakini zinaonekana hazikuruka karibu na anga ya Ulaya.

Kuna wasiwasi juu ya kile ambacho kinaweza kutumwa kutoka China kuelekea Iran wakati vita vya Tehran na Israeli vikiendelea.

Wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga wamebainisha kuwa aina ya ndege inayotumika, Boeing 747, hutumika kwa kawaida kusafirisha vifaa vya kijeshi na silaha, na kukodishwa kuruka kwa amri z

Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China.

Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu.

Takwimu zilionyesha kuwa katika kila safari, ndege hizo ziliruka kuelekea magharibi kando ya kaskazini mwa Uchina, ikivuka hadi Kazakhstan, kisha kusini hadi Uzbekistan na Turkmenistan na kisha kupotea kwenye rada zilipokaribia Irani.

Ili kuongeza fumbo, mipango ya safari za ndege hizo ilionyesha kuishia Luxembourg, lakini zinaonekana hazikuruka karibu na anga ya Ulaya.

Kuna wasiwasi juu ya kile ambacho kinaweza kutumwa kutoka China kuelekea Iran wakati vita vya Tehran na Israeli vikiendelea.

Wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga wamebainisha kuwa aina ya ndege inayotumika, Boeing 747, hutumika kwa kawaida kusafirisha vifaa vya kijeshi na silaha, na kukodishwa kuruka kwa amri za kandarasi za serikali.View attachment 3374937
Truth, Justice and Humanity belong to those who love their children more than they hate their neighbours. Truth, Justice and Humanity belong to those who love life not who cherish and glorify death.
So, it is upon you to chose which type of truth, justice and humanity do you support.
 
Some Important Facts to Understand About Iran 🇮🇷 and Israel 🇮🇱
Correct. But ethnicity alone doesn’t determine a country's policies or alignment with human rights. Iran’s Persian identity does not exempt it from being one of the most authoritarian regimes in the region.
Iran 🇮🇷 is not an Arab country; it is predominantly Persian.

Israel 🇮🇱 is not a Christian nation; it is predominantly Jewish.
Kweli kabisa. However, Israel is a secular democracy with legal protections for all faiths including Christianity and Islam unlike Iran, where state and religion are inseparable.

The Jewish people practice Judaism, not Christianity ✝.
But Israel does not impose Judaism on others. Christians and Muslims are free to worship, preach, and own property freedoms denied to many religious minorities in Iran.
In Israel 🇮🇱, both Christianity and Islam are minority religions, but there are more Muslims than Christians.
Yes, and both groups have access to education, representation in parliament, and religious courts. Minority rights are constitutionally protected rare in many Middle Eastern countries.

Iran 🇮🇷 actually has a larger Christian population than Israel.
Only in raw numbers due to Iran’s larger population. In practice, Iranian Christians face surveillance, arrests, and limited freedom of worship. Israeli Christians enjoy full civic and religious freedoms.

There are more Arabs in Israel 🇮🇱 than there are Christians ✝.
True and many of those Arabs are Christian. Arab citizens of Israel have voting rights, access to public services, and representation in government a contrast to ethnic minorities in Iran.
Preaching Christianity is easier in the United Kingdom 🇬🇧 than it is in Israel.
Partially true, but still misleading. Preaching Christianity is legal in Israel, though with some social sensitivity. In Iran, converting Muslims to Christianity is illegal and can result in imprisonment or worse.
Iranians 🇮🇷 speak Persian (Farsi), and only a small minority speaks Arabic.
Correct and not in dispute. However, linguistic identity is not directly relevant to human rights, religious tolerance, or geopolitical behavior.
Iran is the leading Shia Muslim nation and often at odds with Sunni Islamic doctrine, which is led by Saudi Arabia.
This theological divide does not justify Iran’s support for militias and proxy wars in other countries, nor its repression of its own people.
If the only reason you support Israel is because it is mentioned in the Bible or you believe it is a Christian country, then you are wrong.
Agreed, support should not be blind. Ila many support Israel for its democratic values, technological advancement, and record of protecting civil liberties in a challenging region.
If the only reason you support Iran is because you think it is an Arab nation or simply because it is predominantly Muslim, then you are wrong.
Sure. Support should never be based purely on religious alignment but on values like justice, human rights, and lawful governance areas where Iran falls short.
If your support is not based on who is right or wrong, who breaks international laws, or who upholds justice and fairness; but is instead based solely on religious sentiment, then, you are not standing for truth, fairness, or humanity. You are simply acting out of religious bias.
Agreed, by such standards, Israel’s record on democracy, gender equality, press freedom, and minority rights is measurably stronger than Iran’s.
Let us stand for truth, justice, and human dignity; no matter who is involved.
On that basis, a critical look shows that Israel despite its imperfections adheres more closely to these principles than authoritarian regimes like Iran.
Let’s get informed. Knowledge is power.
Absolutely and complete, balanced knowledge reveals that Israel is not perfect, but it is a democratic society offering freedoms unavailable in Iran. Supporting such values is not bias it’s clarity.
 
Lini na wapi? Kwamba Mmarekani amshambulie mwarabu alafu mchina sijui mkorea au Mrusi aingilie?

Hakuna kiongozi mpuuzi duniani atafanya ujinga kama huo. Alifanya Nyerere tu akatuacha maskini.
Unajua kusoma ?
 
Some Important Facts to Understand About Iran 🇮🇷 and Israel 🇮🇱

Iran 🇮🇷 is not an Arab country; it is predominantly Persian.

Israel 🇮🇱 is not a Christian nation; it is predominantly Jewish.
The Jewish people practice Judaism, not Christianity ✝.
In Israel 🇮🇱, both Christianity and Islam are minority religions, but there are more Muslims than Christians.

Iran 🇮🇷 actually has a larger Christian population than Israel.

There are more Arabs in Israel 🇮🇱 than there are Christians ✝.

Preaching Christianity is easier in the United Kingdom 🇬🇧 than it is in Israel.

Iranians 🇮🇷 speak Persian (Farsi), and only a small minority speaks Arabic.

Iran is the leading Shia Muslim nation and often at odds with Sunni Islamic doctrine, which is led by Saudi Arabia.

If the only reason you support Israel is because it is mentioned in the Bible or you believe it is a Christian country, then you are wrong.

If the only reason you support Iran is because you think it is an Arab nation or simply because it is predominantly Muslim, then you are wrong.

If your support is not based on who is right or wrong, who breaks international laws, or who upholds justice and fairness; but is instead based solely on religious sentiment, then, you are not standing for truth, fairness, or humanity. You are simply acting out of religious bias.

Let us stand for truth, justice, and human dignity; no matter who is involved.

Let’s get informed. Knowledge is power.
Umesahau kuwa ndani ya Iran kuna wayahud wengi tu. Kingine watu wanasapoti Israeli maana Iran kashaweka wazi misheard yake ni kuiangamiza Israeli so kama ushatangaza kumua mtu akakuwah yupo sahihi
 
Umesahau kuwa ndani ya Iran kuna wayahud wengi tu. Kingine watu wanasapoti Israeli maana Iran kashaweka wazi misheard yake ni kuiangamiza Israeli so kama ushatangaza kumua mtu akakuwah yupo sahihil
Hapo ndipo alipoyumba
 
Back
Top Bottom