HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
Ktk Top 10 ya majeshi yenye nguvu duniani,israel ipo na cha kushangaza ina wanajeshi wachache kupindukia,kombora dogo kuliko yote duniani limevumbuliwa na israel mwaka huu na wamemuuzia teknolojia mrusi kombora lenyewe lina uzito wa kilo nne na ni dogo kama rula na effect zake ni kama kombora linalobebwa na magari makubwa ya kijeshi...toa udini wako hv ufikirii kwa middle east nchi zinazoizunguka israel zikiweka silaha chini amani itakuja,ila israel akiweka silaha chini kifo kitamjia,for years wamemshindwa,sasa subiri soon uone iran itakavyobamizwa baada ya hapo mataifa ya kiarabu pamoja na urusi watakapovamia israel na kuharibiwa kabla ya kuingia mpinga kristo
Wacha asome hii link Sayyed Nasrallah: Drone Is Ours, It Wont Be the Last...Kwa akili zako utaona hivyo ila neno halisemi hivyo. Israeli itapigwa balaa na hao jamaa na kushindwa kabisa kabla ya mpango wa mpinga kuingia na mwisho Israel itatubia kwa Mola wake na kupona hao 124,000 tu.
Haukuna nchi itakayoweza kuipiga Israel. Teknolojia ya Israel na iran ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi, Israel iko mbali sana kuliko Irani, Hilo jamaa linaongea kishabiki
Please ongea ukweli, nikwamba hiyo UAV au SAI ilionekana mapema wakati inakaribia southern border ya Israel nawao walikuwa tayari washajua na hawakutaka kuitungua mapema vile sababu ya makazi ya watu, wenzetu wanajali utu, hivyo walisubiri mpaka eneo lisilo na makazi ya watu ndipo waitungue.
vita ya hizbullah na Israel, Hizbullah wanajichanganya kwenye makazi ya watu-walebanoni, raia, kwahiyo ulitaka IDF iue raia??
Unajua nini juu ya DEMONA REACTOR?? angekuwepo Rais ambaye marehemu, Rais Kennedy angekueleza na kwanini hadi leo rais anayeingia madarakani wa marekani lazima aiheshimu Israel??
Tusiwe washabiki wa upande wowote!
Kabisa kabisaIsrael bila kukingiwa kifua na USA ni domo tupu.
Israel inazo silaha za nyuklia , inaweza kutumia hizo. Iran ina makombora mengi ya kuimaliza Israel.
US akiingia katika vita huenda ndio vita ya 3 ya dunia imewadia.
Hesbollah waliifanya nini Israel katika vita iliyopita? Israel can't defeat Hezbollah: Israeli expert | Reuters
link How Hezbollah Defeated Israel Part Three
link WILL HEZBOLLAH DEFEAT ISRAEL (AGAIN!) IN THE COMING WAR? | Veterans Today
Mbona haya yote unayoyasema hapa inaonekana unayafahamu wewe peke yako? Hayajatangazwa kwenye vyombo vya habari vya kiarabu (mashariki ya kati) wala vya magharibi. wewe umeyatoa wapi? Au ndivyo mnavyotiana moyo mkiwa huko misikitini?
Page not foundKama waishi dunia hii basi hayo manne ya juu ni wazi hata kwa mtoto wa kijini. Hili la tano ni jipya kwa wengi, hii hapa link usome mwenyewe:
http://www.washingtonpost.com/world...arning-reflects-us-fears-of-iran-cyberattack-
Please ongea ukweli, nikwamba hiyo UAV au SAI ilionekana mapema wakati inakaribia southern border ya Israel nawao walikuwa tayari washajua na hawakutaka kuitungua mapema vile sababu ya makazi ya watu, wenzetu wanajali utu, hivyo walisubiri mpaka eneo lisilo na makazi ya watu ndipo waitungue.
vita ya hizbullah na Israel, Hizbullah wanajichanganya kwenye makazi ya watu-walebanoni, raia, kwahiyo ulitaka IDF iue raia??
Unajua nini juu ya DEMONA REACTOR?? angekuwepo Rais ambaye marehemu, Rais Kennedy angekueleza na kwanini hadi leo rais anayeingia madarakani wa marekani lazima aiheshimu Israel??
Tusiwe washabiki wa upande wowote!
Mimi sio mshabiki lakini navyojua ni kwamba Mwarabu bado saana, aje aifikie Israel, USA, EU, kiuchumi, silaha, vita, busara, maendeleo ya kijamii n.k
Umesahau pia kumuambia hili, Isreal bila kusaidiwa na mmarekani na nchi za europe, hawezi hata kupigana na kikosi cha HAMAS :biggrin:Alaa, wewe ni katika waleee waliokuwa wakikimbia somo la Jiografia shule? Waona sasa, matokeo yake wadhani Iran ni nchi ya Kiarabu!
Haafu hata hao Waarabu wenyewe, unajua uwezo wao wa kijeshi au wasikia tu? Usione kwa vile wameshindwa na Israel mara kadhaa kwa hiyo wako nyuma. Israel ina nguvu kubwa za kijeshi (inapata silaha za bure kutoka Marekani kila mwaka za thamani ya dola bilioni 3.5) hata ina uwezo wa kuzishinda nchi nyingi za Ulaya kijeshi- nchi kama Greece, Norway, Italy, Spain, Portugal...na wengine wanasema hata nchi kubwa kama India, Turkey, Canada nk.
Nchi za Kiarabu nazo, naamini Egypt, Syria, Algeria, Morocco.... zina uwezo wa kuzinyuka 97% ya nchi za Sub-Saharan Africa. Kwa hiyo ondoa mentality ya Uarabu, Uislamu n.k. na tafuta facts. Cha muhimu, soma na jielimishe!
uSIWASIFIE HISBOLLAH KWA SABABU HISBOLLAH wao hawavai uniform za jeshina kama wanavaa uniform basi wasingekuwepo duniani! Wao huvaa kiraia na huja kama raia wema huku wameficha siraha, sasa Israel ni Taifa huru na linaloheshimu utu wa mtu, hivyo hawawezi kumlenga mtu asiye na nguo za kijeshi wakati wanapigana.Udini unaingiaje hapa
Hata Nasser aliukuwa nazo kali kupita hizi. Gadafi ndio kwanzaa alikuwa na nyeti kali zaidi, sasa jiulize mbona mpaka leo hawajaikomboa Jerusalem? Muisrael anatamba kila kukicha, akisema , ilikuwa vita takatifu nani kaiona jerusalem? waarabu kimyaaaaaa! Halafu anabonga tena nani alikuja kuibusu Jerusalem ambapo matunda ya kubusu kwake ni kunyang'anywa ardhi? waarabu kimyaaaaa!Kabisa kabisa