Vita dhidi ya mabepari wa madini inahitaji umoja, ilimshinda Dr Williamson wa Mwadui na Mwl Nyerere

Exactly mkuu. Na ndo maana wengine tunasema dunia ya leo ambayo imetamalaki rushwa na uonevu huwezi pambana na mabepari kwa kutumia sheria na institutions ambazo walitengeneza wao. Never. Imagine huyu mdudu Kama IPTL eti tupambane nao kwenye mahakama ya kimataifa ya usuluhishi!

Ila Mwenyezi Mungu anisamehe lakini Mkapa na Kikwete wana la kujibu mbele ya waTanzania. Hata Kama siyo wao iko siku vizazi vyao vitajibu tuu. Eti serikali ina saini mkataba na IPTL for 20 years! Renewable!

Sometimes I feel JPM. The man is genuine lakini basically watangulizi wake waliuza nchi kwa bei waliyoitaka wao.
Yaani mkuu hao wazee watabaki kwenye kumbukumbu za milele kama wadidimizaji wakuu wa African race. Sasa hata kama walishawishika na fedha za rushwa mbona bado wanakula ugali, wanaangalia TV channels kama tunazoona sisi, wanaugua and most certainly, they will die just like us. Wenzao wanachukua rasilimali ambazo zitatumika na future generations kwenye mataifa yao.
 
Hitler alisema ''Naacha wayahudi wachache ili baadae watu wajue kwanini niliangamiza wayahudi.

Sasa hivi dunia yote inaongozwa na wayahudi. Wamekamata kila idara na kila mahali wapo.

Kwanzia kwenye media, mabank, usafiri, madini, pesa, industries kama vile Hollywood n.k.

Hawa watu wanatengeneza matatizo duniani ilimradi wajinufaishe wao. Ni watu wanaoamini Mungu aliumba hii dunia kwa ajili ya wayahudi tu! na sisi wengine tuliumbwa kwa matumizi yao.

Hivi unaweza kuamini kuwa 43% ya utajiri wote wa USA unamilikiwa na 1% pekee ya wamarekani wote ambao kwa karibu 99% ya hiyo 1% ni wayahudi?

Naona vi elements vya ubaguzi(racism)
hapa.
 
Yaani mkuu hao wazee watabaki kwenye kumbukumbu za milele kama wadidimizaji wakuu wa African race. Sasa hata kama walishawishika na fedha za rushwa mbona bado wanakula ugali, wanaangalia TV channels kama tunazoona sisi, wanaugua and most certainly, they will die just like us. Wenzao wanachukua rasilimali ambazo zitatumika na future generations kwenye mataifa yao.
Huwa na washangaaga sana Watu wakiwasifia awa viongozi wawili......

Ni watu ambao huwa nikiwafikiria mpaka na sisimka....

Ila Watanzania bado tuna umbumbu sijui ndo ulofa kama tulivyoambiwaga na ye mwenyewe, utashanga mtu msomi kabisa lakin anakwambia bora enzi ya Mkap, ajui mkapa alikua anapata fedha kwa kuuza Rasilimali zetu, kwa kuuza mashirika yetu ya Umma tena kea bei za Kipuuzi, uyu mtu ndo alisababisha upigaji mkubwa mpaka awamu iliyofuata.... Tunamatatizo sana nchi hii! Mungu atuuhurumie tu atusaidie kwa Mapenzi yake

Mwafrika Mpe Mswaki kisha Mng'oe Jino...
 
A very cruel comment lakini ndio ukweli. Angalau tuwe na option ya ku-renogotiate.

Renogoatiate? You wish it was easy that way. Hawa jamaa just know they can afford best lawyers and financial advisors anywhere in the world. Ndo maana vinchi vyetu vya kimasikini tuna vikwazo vingi sana kwenye Safari ya kujikwamua kiuchumi. Hata wale wasomi wachache tulionao Kama lawyers akina Mkono au mama Majaar...ndo hao wana gang up na hao the so called investors. Muwekezaji akipata mgodi wa 2 billion usd akampa mkono 10 million usd ashughulikie kila kitu serikalini....shida iko wapi? Ndo maana unakuta akina Mkono et al wanagombea ubunge. They want easy access to the decision makers. In reality. Nchi zetu tunaibiwa na wale tuliowaamini. Sasa kwa sababu ya umasikini wetu...everyone in the country has a price! Unavyosikia elites wanapiga kelele JPM ameua uchumi....unafikiri in uchumi upi unaliliwa? Vita hii in kubwa mno.

Bro...mtandao wa wapigaji in mkubwa mno! JPM amejilipua...Haya maji kina in kirefu. I wish him well.
 
Hivi mkono bado ni mbunge?Nisaidie tafadhali
 
Mimi binafsi ningependa sana usalama wawe above politics. Kazi yao kuu iwe kulinda raslimali zetu. Ifike mahali kiongozi yoyote anayepiga dili kwenye madini ili kujinufaisha yeye binafsi aondolewe tena ikiwezekana asijulikane hata aliko. Hili suala la madini, gesi na mafuta linatutukana sana watu weusi. Tunapokuwa nje ya nchi na suti zetu tunajiona wastaarabu kumbe watu weupe wanatuona tunatembea uchi maana hatuna kitu kichwani.

Mtanzania yoyote aone aibu kupiga dili at the expense of our country. Hakuna mzungu anayekuona mjanja kwa kuliibia taifa lako.

Mungu alipomuumba mwanadamu macho yakiwa juu tena parallel to the groground na sio perpendicular to alikuwa na makusudi na sababu za msingi sana.Kwamba macho yangekuwa perpendicular to the ground muda wote tungekuwa tunatembea huku tukiangalia miguuni petu jinsi inavyoenenda na hivi safari zetu zisingefika kokote maana tungekuwa wa kujigonga kwenye kuta,mawe,miti na kutumbukia tumbukia kwenye mashimo.

Nchi zozote zilizoendelea na hizi familia zilizojimilikisha Madini duniani ni watu wanaotembea si kwa kutoangalia miguuni mwao. Wanaangalia mbele kila mara. Nakubaliana na suala la vyombo vya usalama kulihuisha jambo hili la succession plan ya uongozi Wa nchi.Wao ndio macho ya nchi.Wakitembea kwa kuangalia miguuni matokeo yake ndio kufika hapa tulipokuwa tumefika.

Mimi nimekwisha kushauri kuwa tukijaribu mfumo fulani tukaona hautusaidii tuachane nao.Tulijaribu mfumo Wa kuachiana madaraka matokeo yake tukajikuta tunajipatia maraisi "midoli'. Imetosha basi.Let us from now on invent another system.Rais Magufuli awe ni Raisi Wa mpito hadi hapo vyombo vya usalama "vitakapoivisha" watu wengine wanaoweza kufanya kazi ya kutuongoza na sio kwenda kuishia kujichagulia wavaa tai na suti kwa ajili ya picha minato na TV.Tuachane na mambo eti miaka kumi ya Mkiristu na kumi ya Muislamu au muda Wa miaka kumi imeisha na hivi aje mwingine.Mambo ya kutuandalia akina Makamba mimi sitakubaliana nayo kabisa.

Mtu Wa kuja kumrithi Magufuli lazima awe ni mtu ambaye "macho" ya nchi yanakuwa yanamfahamu sawa sawa.Awe ni mtu anayemzidi Magufuli.Na Magufuli akifanya mistake ya kuruhusu mrithi wake awe "Raisi mdoli" dhambi hiyo itamtafuna yeye na ukoo wake hadi mwisho Wa dahari.Tufike mahali tuwe na standards za watu wanaotaka kutuongoza.Hata Mungu hakuwa anajiokotea okotea tu manabii Wa kuja duniani.Pamoja na uweza wake wote ambapo angeweza tu kuteua Malaika akaja duniani kufanya kazi ya ukombozi Wa wanadamu lakini kutokana na kufahamu vizuri kuwa kazi ile ilikuwa kazi iliyohitaji umakini na umahiri ndio maana alilazimika kuitoa nafsi yake ya pili(Yesu Kristu).Inakuwaje sisi tunaokota okota tu watu ili mradi wanajua kupiga pozi za picha na kuongea?
 
View attachment 522410 View attachment 522409
Ofisi ya De Beers inayothaminisha bei ya almasi(Israel),kushoto ni Herry Oppenheimer alipoenda Mwadui kumtaka Dr Williamson awauzie familia yao sehemu ya hisa za Mwadui
View attachment 522411
Dr Williamson akiwa "Sorting Room" na lundo la almasi
View attachment 522412
Mtambo wa Kuzalisha umeme mgodi wa Mwadui -1950's
View attachment 522413
Mwalimu wa Shule Ya Msingi Mwadui aliyeletwa na Dr Williamson
View attachment 522414Gazeti la Australia mwaka 1952 likielezea ukubwa wa bwawa la Songwa Mwadui lililokuwa bwawa kubwa la kutengenezwa(Artificial Dam) duniani
GG View attachment 522415
Meli iliyotumiwa na Wafanyakazi wa Serikali ya Kikoloni,kutoka Londo kuja East Africa,wakati wale wa Mwadui walitumia ndege
View attachment 522416
Uwanja wa Ndege Mwadui uliojengwa miaka 1940's wakati
View attachment 522417
Mbwa wa Mwadui,waliokuwa na mafunzo hodari ya kutumwa dukani na kupeleka barua maofisini.
View attachment 522418
Band ya Jeshi la Polisi Mwadui ilianzishwa mwaka 1949
View attachment 522419
Ujio wa Princess Mwadui akiambatana na Gavana Twinning
View attachment 522420
Club inayoelea katika bwawa la Songwa Mwadui,sehemu pekee ya Starehe ambayo hata Gavana wa Tanganyika alifika kujivinjari.
View attachment 522421
Swimming Pool iliyokuwa na viwango vya Kimataifa
View attachment 522422
Ofisi Kuu
View attachment 522423
Ndege aina ya Dakota DC 4 mali ya Dr Williamson
View attachment 522424
Mafundi wa Mgodi wa Mwadui,waliokuwa wanapatq uzoefu toka kwa Wataalamu wa kigeni
View attachment 522425 View attachment 522426
Kaburi la Dr Willy,nje kidogo ya mgodi wa Mwadui

Hii biashara ya madini toka enzi na enzi imekuwa ni "vita",tena ni vile vita ambayo havijawahi kumuacha mtu "salama".Iwe ni mfanyabiashara au mwanasiasa anayetazama maslahi ya watu wake kuliko yale ya mabepari wanunuzi wa madini husika.

Vita hii ilimkumba Dr John Williamson,mwanajolojia Mcanada mwanzilishi na mmiliki wa mgodi wa Mwadui,vita hivi vilimsumbua Julius Nyerere,mwana wa Afrika na Rais wa Tanzania.Mapambano haya hayakuziacha salama nchi zenye ukwasi wa madini kama DR Congo,Angola na Siera Leone.

Report ya pili ya Kamati ya Rais juu ya maboso(mchanga wa madini)inaenda kufungua ukurasa mpya wa "vita" ya moja kwa moja kati ya Rais wa Tanzania yeye binafsi dhidi ya wafanyabiashara wakubwa wa madini duniani.Tumuunge mkono Rais,kwa kumuelekeza vizuri na kwa staha pale anapokosea,na pia kwa kumpongeza kwa kiasi pale anapopatia mikakati katika mapambano haya.Tunaenda kuanza "vita" rasmi na "wamiliki" wa madini wa dunia,tusikate tamaa...Aluta Continua!!!

Biashara ya madini duniani,imekamatwa na familia MBILI tu za Kiyahudi.Moja ikijielekeza kwenye madini ya dhahabu (na jamii zake) ambao ndio BARRICK na moja katika madini ya almasi ambao ndio DE BEERS.Hawa ndio "wamiliki" wa madini yote ya dunia,bila kujali mipaka ya nchi walipo na kule yalipo madini.

Familia ya Kiyahudi ya Oppenheimer (waliohamia South Africa) wenye kampuni ya "De Beers Group of Co.",ndiyo "imejimilikisha" madini yote ya almasi yaliyopo katika dunia hii baada ya "kumpoka kwa nguvu" umiliki wa kampuni Cecil Rhodes.Kuanzia madini ya India na Brazil,Afrika Kusini na Angola,Siera Leone na Botswana,Mwadui Shinyanga hadi Siberia ni "mali" ya De Beers.

Mwaka 1940,Dr John Williamson alifungua mgodi wa almasi Mwadui,nje kidogo ya mji wa Shinyanga.Mwadui ilikuwa na mkanda wa "kimberlait" wenye hifadhi nyingi ya almasi.Dr Williamson raia wa Canada,akautengeneza mji mdogo wa Mwadui na kuwa moja kati ya miji bora sana kusini mwa jangwa la Sahara (Mwadui Township).

Kufikia mwaka 1947,Dr Williamson alikuwa amejenga nyumba bora za wafanyakazi,hospital ya kisasa,shule za msingi tatu,mbili za wafanyakazi wa kiafrika na moja ya wafanyakazi wa kizungu ambayo ndio ilikuwa moja ya "English Medium School" ya kwanza Tanganyika.Akajenga chuo cha Ufundi wa aina zote ndani ya mgodi kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi,chuo cha kilimo na shule ya upili.Huko kwao waliita "School Near The Equator".Ilikuwa shule bora na ya kisasa.
.

Dr Williamson akajenga uwanja wa ndege wa kisasa ndani ya mgodi mwaka 1940's,akanunua ndege mbili za mwanzo aina ya Dakota DC 3 na Cessna180 wakati huo hata serikali ya Kikoloni ya Muingereza ikiwa haina wazo la ndege,wakati serikali ya Tanganyika ikiwa haina uhakika wa uwanja wa ndege kupokea ndege kubwa aina ya Dakota DC4,Dr Williamson alikuwa tayari na uwanja huo,ambapo wageni toka London Uingereza,ndege zilitua Malta,Khartoum-Sudani na baadae Nairobi (Wakati huo ukiitwa Embakasi Airport),na baadae kuchukuliwa na ndege moja kwa moja mpaka Mwadui Shinyanga,ambapo Serikali ya Kikoloni ilikuwa na afisa mmoja wa uhamiaji. Dr Williamson alijenga kanisa na msikiti bora na wa kisasa kwa ajili ya wafanyakazi wake.

Wakati huo,usafiri pekee wa watumishi wa serikali ya Kikoloni ilikuwa ni meli maarufu ya "The Braimer Castro" iliyokuwa inatoka Ulaya mpaka Mombasa.Yeye Dr Williamson na wafanyakazi alioajili walikuwa wanapanda ndege kupitia Embakazi na baadae Mwadui.

Williamson akajenga "Power House" yenye uwezo wa kuzalisha 900kw kwa mitambo ya diesel na 750kw kwa Gas Turbine na hivyo kuwa na umeme wa uhakika kuliko hata jiji la Dar es Salaam achilia mbali mkoa wa Shinyanga.Wakati huo umeme wa Dsm ulikuwa unategemea ule mtambo ulioweka pale makao makuu ya Wizara ya Nishati kama makumbusho.

Ndani ya mgodi wa Mwadui,Dr Williamson alijenga "Sailing Club",yaani Club inayoelea katika bwawa alilichimba eneo la Songwa.Hii ndio ilikuwa Club pekee inayoelea Afrika na Kusini mwa Jangwa la Sahara.

May 2,1952,Gazeti Kongwe la "The Cairns Post" (Est.1882) liliandika juu ya uwepo wa bwawa la Songwa,Mwadui-Shinyanga,Tanganyika.Gazeti hilo la Australia lilielezea bwawa la Songwa kama moja kati ya "Artificial dam" kubwa zaidi duniani,lenye uwezo wa kuchukua "two thousands million gallons of water".Mradi ambao hata serikali ya mkoloni iliushangaa.

Mwadui kulikuwa na mfumo wa maji safi na maji taka yaliyotibiwa na wataalamu waliosomeshwa na mgodi.Huduma ya elimu ya watu wazima na elimu ya uchumi wa nyumbani "home economics" kwa wamama waliokuwa nyumbani.Kufikia mwaka 1970,karibu 97% ya wakazi wa mgodi huo ambao walifikia 60,000 walikuwa wanajua kusoma na kuandika,na wamama wakiwa na ujuzi wa ushonaji,upishi nk.

Dr Williamson aliajiri mpishi maarufu toka Ufaransa,ambaye alikuwa akipika na kuandaa chakula katika "mesi" kubwa ndani ya mgodi wa Mwadui.Mfaransa huyo alifundisha wapishi wengi wa Kiafrika na alikuwa kama "chuo" cha wapishi wengi wa maafisa wa serikali ya kikoloni,na hata wapishi wa mwanzo wa Ikulu ya Dsm baada ya Uhuru,walipita katika mafunzo ya "mesi" ya Mwadui.Kufikia mwaka 1950,Tanganyika ilikuwa na vyumba viwili tu vyenye hadhi ya kulala familia ya kifalme ya Uingereza,chumba kimoja katika Ikulu ya sasa ya Dsm na kingine kwenye "rest house" ndani ya mgodi wa Mwadui.

Mgodi wa Mwadui chini ya Dr Williamson,uliweza kujenga kiwanja cha golf chenye mashimo tisa,ambacho kilikuwa ni moja ya viwanja vikubwa na vya kisasa Afrika nzima.Mwaka 1952,Dr alishawishi mpaka mashindano makubwa ya kombe la Malikia la Golf nchini Canada yafanyike Mwadui,kila kitu kilikubalika isipokuwa hali ya uwanja wa Embakasi Kenya haukuwa sawa sababu ya vuguvugu la vita vya Maumau lililotishia usalama wa kiwanja.Swimming Pool za viwango vya Olympic tatu ndani ya mgodi

Viwanja vya tennis,pamoja na viwanja vitatu bora vya mpira wa miguu vilivyokuwa na viwango vya kimataifa vilijengwa ndani ya mgodi wa Williamson.Timu ya mpira ya Mwadui Mining ilishiriki mashindano ya kitaifa kwa ubora mkubwa.Waamuzi wakongwe wa viwango vya kimataifa kama Mshangama na Mashishanga(RC wa zamani) ni matunda ya Dr Williamson.

Ustawi wa maisha ya mgodi na kushamiri kwa faida ya Dr Williamson kuliwauzi "wamiliki" wakubwa wa biashara ya madini ya almasi ambao ni De Beers Group of Co.Almasi ya Mwadui iliingia kwa kasi sana katika soko la dunia jijini London.De Beers wakashindwa kumdhibiti Dr Williamson na almasi yake,akafanya almasi ya Afrika Kusini kushuka thamani katika soko la dunia,njia pekee iliyobaki kwa De Beers ilikuwa kumtaka Dr Willy aungane nao katika biashara.

Dr Willy alikataa,akataka kuupeleka mgodi kwa namna yake,hakutaka kuwanyonya Waafrika na wafanyakazi wake,ndoto zake ilikuwa ni kuijenga "Quebec ndogo ndani ya Tanganyika",alitaka kuonyesha tofauti ya thamani ya madini na maisha ya wazawa kwa kuutumia mgodi wa Mwadui.Aliiishi Afrika Kusini na kuona jinsi wazawa wa kando ya migodi na wafanyakazi wasivyofaidika na madini katika ardhi yao.

Dr Willy hakutaka hali hiyo itokee.Mkoloni na De Beers walichukia uamuzi wa Dr Williamson kuufanya mgodi wa Mwadui kama "Ulaya ya Afrika".Walim-fustrate kwa kukataa kuipokea almasi yake katika viwanda vya wachonga almasi kule London (diamond Cutting).Mwaka 1950,Serikali ya kikoloni kwa Shinikizo la familia ya Oppenheimer wakataka kuutaifisha mgodi wa Mwadui ili uwe mali ya serikali ya mkoloni na si mtu binafsi.

Hali hii ilichanganya sana Dr Williamson,akawa mlevi wa kupindukia wa whisky ya Scotland,akawa "chain Smoker" na kwa sababu alikuwa "bachelor" hakuwa na mtu wa kumtuliza mawazo.Mwaka 1952,mwezi Machi, kampuni ya De Beers ilimtuma mtoto wa kwanza wa mmiliki wa kampuni,Herry Oppenheimer kuongea na Dr Williamson namna ya kuuza sehemu ya hisa kwa De Beers ili aweze kuwa "salama",Dr Williamson alisitasita sana,akawaza jinsi wafanyakazi wake wa kiafrika na wale aliowaleta toka Ulaya watakavyonyanyasika,akawaza jinsi ndoto yake ya kujenga "Mji wa Quebec wa Afrika" inavyopotea.

Mwaka 1956...Princess Margareth akiambatana na Gavana wa Tanganyika na ujumbe wake walitembelea mgodi wa Mwadui wakiwa ndani ya ndege aina ya Dakota DC4 mali ya Dr Williamson.Ulikuwa ni ushawishi kumfanya Dr aachie sehemu ya hisa za mgodi

Kwa shingo upande akatoa 50% yake kwa kuwauzia De Beers kwa £ 4 milioni,miaka michache baadae akagundulika kuwa na saratani ya koo, ugonjwa uliochukua maisha yake miaka michache baadae(japo ilisimekana ulipandikizwa ili kumuondoa).Aliomba kuzikwa ndani ya eneo la Mwadui kwani kwake Mwadui ndio ilikuwa nyumbani.

Mwaka 1958,Herry Oppenheimer ndio akawa mwenyekiti wa Mgodi wa Mwadui,sehemu ya hisa za Dr Williamson aliachiwa dada yake,na kwa sababu hakuwa na uzoefu wa mambo ya madini,De Beers wakamshauri aziuze.De Beers na serikali ya kikoloni wakawa na 50/50 ya umiliki wa mgodi na almasi yote ya Mwadui.Ndoto za De Beers na familia ya Oppenheimer ikawa imetimia....Nayo ni "KUMILIKI MADINI YOTE YA ALMASI CHINI YA ARDHI YA DUNIA

Julius Nyerere alipochukua nchi 1961,baadae aliamua kutaifisha mali zote,akaunda Stamico isimamie sekta ya madini.De Beers iliwauma sana kufurushwa na Nyerere.Hawa Waisrael wakaunda team ya namna ya kumkomesha Julius Nyerere,kwanza waliweka fitna katika soko la almasi pale London,wakazishawishi "Diamond Cutting and Polishing Companies" kule London ziisusie almasi ya Mwadui,Mwalimu akawa mbishi na kuimarisha "TunCut Diamond Co" pale Iringa.

De Beers akazidi kuweka fitna kwenye viwanda vinavyotengeneza vipuri vya mitambo iliyopo Mwadui.Kuanzia mitambo ya kuchimba,kusafisha na kuchambua almasi.Mwishowe vifaa vikachakaa bila kuwa na ukarabati.Uzalishaji ukapungua na almasi ya Mwadui ikapotea katika soko la dunia.Wataalamu toka nje waliokuwa katika mgodi wa Mwadui wakaondoka.Ikawa ni hasara juu ya hasara.

Mwaka 1993,De Beers kupitia Herry Oppenheimer yuleyule wa enzi za Dr Williamson walirudi Tanzania kupitia mtoto wao Nicolaus
Oppenheimer,wakaishawishi serikali ya Tanzania,na hatimaye De Beers Group of Co. wakauziwa 75% ya hisa za mgodi wa Mwadui.Hatimaye ile ndoto yao ya kumiliki madini yote ya almasi ya dunia ikaendelea kutimia.

Hawa ndio De Beers,familia ya Kiyahudi ya Oppenheimer.Wanaosadiki kuwa almasi yote inayopatikana katika uso wa dunia hii ni mali yao.Walimsurubu Dr John T. Williamson,mzungu-msukuma aliyetaka mali ya ardhi ya Mwadui ilete thamani kwa Waafrika na Tanganyika.Hawa ndio De Beers waliomtikisa Mwalimu Nyerere,hawa ndio familia ya almasi duniani,wanaochochea yale ya Angola ya Savimbi,Siere Leone ya Foudah Sankho na DR Congo ya M23 ili waendelee kuchota utajili wa Afrika.

Ndugu zao ni hao Barrick na familia ya Kiyahudi iliyopo Canada.Sisi tumeanza na Barrick,ama zao ama zetu...Tusikate tamaa,cha muhimu ni kujua tu "mbinu" za adui yetu.Tuliokula ugali wa unga wa manjano na uji wa bulga tunastahimili,vipi hawa watoto wa chips mayai na kuku wa boila??Kumekuchaaaa

barafu wa Jf toka Toronto-Canada
Niyakweli kabisa haya maneno. Nimekubali mkuu barafu. Tushirikianeni kwa Umoja wetu hii vita tutaishinda. Wanasheria,wachimbaji wadogo,akina mama,vijana,wasomi mlioko vyuoni na wanasiasa kwa ujumla tuunganisheni nguvu tuweze kumaliza unyonyaji na uporaji wa muda mrefu wa raslimali zetu.
Hakuna mtu atakuja kutusaidia. Kwa pamoja tuseme [HASHTAG]#MADINIYETU[/HASHTAG]
 
Renogoatiate? You wish it was easy that way. Hawa jamaa just know they can afford best lawyers and financial advisors anywhere in the world. Ndo maana vinchi vyetu vya kimasikini tuna vikwazo vingi sana kwenye Safari ya kujikwamua kiuchumi. Hata wale wasomi wachache tulionao Kama lawyers akina Mkono au mama Majaar...ndo hao wana gang up na hao the so called investors. Muwekezaji akipata mgodi wa 2 billion usd akampa mkono 10 million usd ashughulikie kila kitu serikalini....shida iko wapi? Ndo maana unakuta akina Mkono et al wanagombea ubunge. They want easy access to the decision makers. In reality. Nchi zetu tunaibiwa na wale tuliowaamini. Sasa kwa sababu ya umasikini wetu...everyone in the country has a price! Unavyosikia elites wanapiga kelele JPM ameua uchumi....unafikiri in uchumi upi unaliliwa? Vita hii in kubwa mno.

Bro...mtandao wa wapigaji in mkubwa mno! JPM amejilipua...Haya maji kina in kirefu. I wish him well.
Inakatisha tamaa sana. Ndio maana mimi naona the best approach ni kukaa nao round table kwa upole kabisa, atleast kwa mikataba hii inayoendelea.
Mimi nimeshaumia peke yangu hadi nimechoka maana jamaa wanatuibia kiasi kwamba huko kwao wameanza kusemana kuwa they are stealing too much. Mbaya zaidi hawa wanaokuja huku field wanakandamizia kuwa hawa waafrika hata tukiwapa wanachostahili watatumia vibaya anyway, na wanatoa mifano very convincing.
Kwahiyo ni kweli kabisa tunaibiwa na wanashirikiana na watu wetu.
While I support JPM 100%, I still have a slight worry na approach tuliyoanza nayo. Sioni sana mwisho wake kama utasaidia... I don't know
 
Barafu; mkono bado ni mbunge ndiyo tena anapendwa sana kule kwake.

Hili vita la uhujumu uchumi haliwezi fanikiwa kwa sababu limeingizwa kwenye siasa za kipuuzi. Kama tukitaka hili vita tulimalize vizuri lazima katiba yetu tulifumue na kuweka katiba mpya mezani ili mTanzania apewe nchi yake kwanza..kitu ambacho wapuuzi wachache hawataki kulisikia bali wanataka kusikia makofi tu.

Tuchukie tusichukie hatuwezi kushinda vita hizi wa kulinda rasilimali zetu tusipobadilisha katiba yetu kwani wananchi wamenyimwa nguvu ya kuilinda nchi yao; unakuta adi wanausalama wanalinda MTU badala ya nchi kisa wapuuzi flani watamuamisha kituo cha kazi au kumfuta kazi.
 
Mimi binafsi ningependa sana usalama wawe above politics. Kazi yao kuu iwe kulinda raslimali zetu. Ifike mahali kiongozi yoyote anayepiga dili kwenye madini ili kujinufaisha yeye binafsi aondolewe tena ikiwezekana asijulikane hata aliko. Hili suala la madini, gesi na mafuta linatutukana sana watu weusi. Tunapokuwa nje ya nchi na suti zetu tunajiona wastaarabu kumbe watu weupe wanatuona tunatembea uchi maana hatuna kitu kichwani.

Mtanzania yoyote aone aibu kupiga dili at the expense of our country. Hakuna mzungu anayekuona mjanja kwa kuliibia taifa lako.
Ni kweli kiongozi, barani Afrika viongozi wabadhirifu wanaonekana mashujaa, kwingineko watu wanaocheza na raslimali za nchi walipaswa kunyongwa mpaka kufa
 
View attachment 522410 View attachment 522409
Ofisi ya De Beers inayothaminisha bei ya almasi(Israel),kushoto ni Herry Oppenheimer alipoenda Mwadui kumtaka Dr Williamson awauzie familia yao sehemu ya hisa za Mwadui
View attachment 522411
Dr Williamson akiwa "Sorting Room" na lundo la almasi
View attachment 522412
Mtambo wa Kuzalisha umeme mgodi wa Mwadui -1950's
View attachment 522413
Mwalimu wa Shule Ya Msingi Mwadui aliyeletwa na Dr Williamson
View attachment 522414Gazeti la Australia mwaka 1952 likielezea ukubwa wa bwawa la Songwa Mwadui lililokuwa bwawa kubwa la kutengenezwa(Artificial Dam) duniani
GG View attachment 522415
Meli iliyotumiwa na Wafanyakazi wa Serikali ya Kikoloni,kutoka Londo kuja East Africa,wakati wale wa Mwadui walitumia ndege
View attachment 522416
Uwanja wa Ndege Mwadui uliojengwa miaka 1940's wakati
View attachment 522417
Mbwa wa Mwadui,waliokuwa na mafunzo hodari ya kutumwa dukani na kupeleka barua maofisini.
View attachment 522418
Band ya Jeshi la Polisi Mwadui ilianzishwa mwaka 1949
View attachment 522419
Ujio wa Princess Mwadui akiambatana na Gavana Twinning
View attachment 522420
Club inayoelea katika bwawa la Songwa Mwadui,sehemu pekee ya Starehe ambayo hata Gavana wa Tanganyika alifika kujivinjari.
View attachment 522421
Swimming Pool iliyokuwa na viwango vya Kimataifa
View attachment 522422
Ofisi Kuu
View attachment 522423
Ndege aina ya Dakota DC 4 mali ya Dr Williamson
View attachment 522424
Mafundi wa Mgodi wa Mwadui,waliokuwa wanapatq uzoefu toka kwa Wataalamu wa kigeni
View attachment 522425 View attachment 522426
Kaburi la Dr Willy,nje kidogo ya mgodi wa Mwadui

Hii biashara ya madini toka enzi na enzi imekuwa ni "vita",tena ni vile vita ambayo havijawahi kumuacha mtu "salama".Iwe ni mfanyabiashara au mwanasiasa anayetazama maslahi ya watu wake kuliko yale ya mabepari wanunuzi wa madini husika.

Vita hii ilimkumba Dr John Williamson,mwanajolojia Mcanada mwanzilishi na mmiliki wa mgodi wa Mwadui,vita hivi vilimsumbua Julius Nyerere,mwana wa Afrika na Rais wa Tanzania.Mapambano haya hayakuziacha salama nchi zenye ukwasi wa madini kama DR Congo,Angola na Siera Leone.

Report ya pili ya Kamati ya Rais juu ya maboso(mchanga wa madini)inaenda kufungua ukurasa mpya wa "vita" ya moja kwa moja kati ya Rais wa Tanzania yeye binafsi dhidi ya wafanyabiashara wakubwa wa madini duniani.Tumuunge mkono Rais,kwa kumuelekeza vizuri na kwa staha pale anapokosea,na pia kwa kumpongeza kwa kiasi pale anapopatia mikakati katika mapambano haya.Tunaenda kuanza "vita" rasmi na "wamiliki" wa madini wa dunia,tusikate tamaa...Aluta Continua!!!

Biashara ya madini duniani,imekamatwa na familia MBILI tu za Kiyahudi.Moja ikijielekeza kwenye madini ya dhahabu (na jamii zake) ambao ndio BARRICK na moja katika madini ya almasi ambao ndio DE BEERS.Hawa ndio "wamiliki" wa madini yote ya dunia,bila kujali mipaka ya nchi walipo na kule yalipo madini.

Familia ya Kiyahudi ya Oppenheimer (waliohamia South Africa) wenye kampuni ya "De Beers Group of Co.",ndiyo "imejimilikisha" madini yote ya almasi yaliyopo katika dunia hii baada ya "kumpoka kwa nguvu" umiliki wa kampuni Cecil Rhodes.Kuanzia madini ya India na Brazil,Afrika Kusini na Angola,Siera Leone na Botswana,Mwadui Shinyanga hadi Siberia ni "mali" ya De Beers.

Mwaka 1940,Dr John Williamson alifungua mgodi wa almasi Mwadui,nje kidogo ya mji wa Shinyanga.Mwadui ilikuwa na mkanda wa "kimberlait" wenye hifadhi nyingi ya almasi.Dr Williamson raia wa Canada,akautengeneza mji mdogo wa Mwadui na kuwa moja kati ya miji bora sana kusini mwa jangwa la Sahara (Mwadui Township).

Kufikia mwaka 1947,Dr Williamson alikuwa amejenga nyumba bora za wafanyakazi,hospital ya kisasa,shule za msingi tatu,mbili za wafanyakazi wa kiafrika na moja ya wafanyakazi wa kizungu ambayo ndio ilikuwa moja ya "English Medium School" ya kwanza Tanganyika.Akajenga chuo cha Ufundi wa aina zote ndani ya mgodi kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi,chuo cha kilimo na shule ya upili.Huko kwao waliita "School Near The Equator".Ilikuwa shule bora na ya kisasa.
.

Dr Williamson akajenga uwanja wa ndege wa kisasa ndani ya mgodi mwaka 1940's,akanunua ndege mbili za mwanzo aina ya Dakota DC 3 na Cessna180 wakati huo hata serikali ya Kikoloni ya Muingereza ikiwa haina wazo la ndege,wakati serikali ya Tanganyika ikiwa haina uhakika wa uwanja wa ndege kupokea ndege kubwa aina ya Dakota DC4,Dr Williamson alikuwa tayari na uwanja huo,ambapo wageni toka London Uingereza,ndege zilitua Malta,Khartoum-Sudani na baadae Nairobi (Wakati huo ukiitwa Embakasi Airport),na baadae kuchukuliwa na ndege moja kwa moja mpaka Mwadui Shinyanga,ambapo Serikali ya Kikoloni ilikuwa na afisa mmoja wa uhamiaji. Dr Williamson alijenga kanisa na msikiti bora na wa kisasa kwa ajili ya wafanyakazi wake.

Wakati huo,usafiri pekee wa watumishi wa serikali ya Kikoloni ilikuwa ni meli maarufu ya "The Braimer Castro" iliyokuwa inatoka Ulaya mpaka Mombasa.Yeye Dr Williamson na wafanyakazi alioajili walikuwa wanapanda ndege kupitia Embakazi na baadae Mwadui.

Williamson akajenga "Power House" yenye uwezo wa kuzalisha 900kw kwa mitambo ya diesel na 750kw kwa Gas Turbine na hivyo kuwa na umeme wa uhakika kuliko hata jiji la Dar es Salaam achilia mbali mkoa wa Shinyanga.Wakati huo umeme wa Dsm ulikuwa unategemea ule mtambo ulioweka pale makao makuu ya Wizara ya Nishati kama makumbusho.

Ndani ya mgodi wa Mwadui,Dr Williamson alijenga "Sailing Club",yaani Club inayoelea katika bwawa alilichimba eneo la Songwa.Hii ndio ilikuwa Club pekee inayoelea Afrika na Kusini mwa Jangwa la Sahara.

May 2,1952,Gazeti Kongwe la "The Cairns Post" (Est.1882) liliandika juu ya uwepo wa bwawa la Songwa,Mwadui-Shinyanga,Tanganyika.Gazeti hilo la Australia lilielezea bwawa la Songwa kama moja kati ya "Artificial dam" kubwa zaidi duniani,lenye uwezo wa kuchukua "two thousands million gallons of water".Mradi ambao hata serikali ya mkoloni iliushangaa.

Mwadui kulikuwa na mfumo wa maji safi na maji taka yaliyotibiwa na wataalamu waliosomeshwa na mgodi.Huduma ya elimu ya watu wazima na elimu ya uchumi wa nyumbani "home economics" kwa wamama waliokuwa nyumbani.Kufikia mwaka 1970,karibu 97% ya wakazi wa mgodi huo ambao walifikia 60,000 walikuwa wanajua kusoma na kuandika,na wamama wakiwa na ujuzi wa ushonaji,upishi nk.

Dr Williamson aliajiri mpishi maarufu toka Ufaransa,ambaye alikuwa akipika na kuandaa chakula katika "mesi" kubwa ndani ya mgodi wa Mwadui.Mfaransa huyo alifundisha wapishi wengi wa Kiafrika na alikuwa kama "chuo" cha wapishi wengi wa maafisa wa serikali ya kikoloni,na hata wapishi wa mwanzo wa Ikulu ya Dsm baada ya Uhuru,walipita katika mafunzo ya "mesi" ya Mwadui.Kufikia mwaka 1950,Tanganyika ilikuwa na vyumba viwili tu vyenye hadhi ya kulala familia ya kifalme ya Uingereza,chumba kimoja katika Ikulu ya sasa ya Dsm na kingine kwenye "rest house" ndani ya mgodi wa Mwadui.

Mgodi wa Mwadui chini ya Dr Williamson,uliweza kujenga kiwanja cha golf chenye mashimo tisa,ambacho kilikuwa ni moja ya viwanja vikubwa na vya kisasa Afrika nzima.Mwaka 1952,Dr alishawishi mpaka mashindano makubwa ya kombe la Malikia la Golf nchini Canada yafanyike Mwadui,kila kitu kilikubalika isipokuwa hali ya uwanja wa Embakasi Kenya haukuwa sawa sababu ya vuguvugu la vita vya Maumau lililotishia usalama wa kiwanja.Swimming Pool za viwango vya Olympic tatu ndani ya mgodi

Viwanja vya tennis,pamoja na viwanja vitatu bora vya mpira wa miguu vilivyokuwa na viwango vya kimataifa vilijengwa ndani ya mgodi wa Williamson.Timu ya mpira ya Mwadui Mining ilishiriki mashindano ya kitaifa kwa ubora mkubwa.Waamuzi wakongwe wa viwango vya kimataifa kama Mshangama na Mashishanga(RC wa zamani) ni matunda ya Dr Williamson.

Ustawi wa maisha ya mgodi na kushamiri kwa faida ya Dr Williamson kuliwauzi "wamiliki" wakubwa wa biashara ya madini ya almasi ambao ni De Beers Group of Co.Almasi ya Mwadui iliingia kwa kasi sana katika soko la dunia jijini London.De Beers wakashindwa kumdhibiti Dr Williamson na almasi yake,akafanya almasi ya Afrika Kusini kushuka thamani katika soko la dunia,njia pekee iliyobaki kwa De Beers ilikuwa kumtaka Dr Willy aungane nao katika biashara.

Dr Willy alikataa,akataka kuupeleka mgodi kwa namna yake,hakutaka kuwanyonya Waafrika na wafanyakazi wake,ndoto zake ilikuwa ni kuijenga "Quebec ndogo ndani ya Tanganyika",alitaka kuonyesha tofauti ya thamani ya madini na maisha ya wazawa kwa kuutumia mgodi wa Mwadui.Aliiishi Afrika Kusini na kuona jinsi wazawa wa kando ya migodi na wafanyakazi wasivyofaidika na madini katika ardhi yao.

Dr Willy hakutaka hali hiyo itokee.Mkoloni na De Beers walichukia uamuzi wa Dr Williamson kuufanya mgodi wa Mwadui kama "Ulaya ya Afrika".Walim-fustrate kwa kukataa kuipokea almasi yake katika viwanda vya wachonga almasi kule London (diamond Cutting).Mwaka 1950,Serikali ya kikoloni kwa Shinikizo la familia ya Oppenheimer wakataka kuutaifisha mgodi wa Mwadui ili uwe mali ya serikali ya mkoloni na si mtu binafsi.

Hali hii ilichanganya sana Dr Williamson,akawa mlevi wa kupindukia wa whisky ya Scotland,akawa "chain Smoker" na kwa sababu alikuwa "bachelor" hakuwa na mtu wa kumtuliza mawazo.Mwaka 1952,mwezi Machi, kampuni ya De Beers ilimtuma mtoto wa kwanza wa mmiliki wa kampuni,Herry Oppenheimer kuongea na Dr Williamson namna ya kuuza sehemu ya hisa kwa De Beers ili aweze kuwa "salama",Dr Williamson alisitasita sana,akawaza jinsi wafanyakazi wake wa kiafrika na wale aliowaleta toka Ulaya watakavyonyanyasika,akawaza jinsi ndoto yake ya kujenga "Mji wa Quebec wa Afrika" inavyopotea.

Mwaka 1956...Princess Margareth akiambatana na Gavana wa Tanganyika na ujumbe wake walitembelea mgodi wa Mwadui wakiwa ndani ya ndege aina ya Dakota DC4 mali ya Dr Williamson.Ulikuwa ni ushawishi kumfanya Dr aachie sehemu ya hisa za mgodi

Kwa shingo upande akatoa 50% yake kwa kuwauzia De Beers kwa £ 4 milioni,miaka michache baadae akagundulika kuwa na saratani ya koo, ugonjwa uliochukua maisha yake miaka michache baadae(japo ilisimekana ulipandikizwa ili kumuondoa).Aliomba kuzikwa ndani ya eneo la Mwadui kwani kwake Mwadui ndio ilikuwa nyumbani.

Mwaka 1958,Herry Oppenheimer ndio akawa mwenyekiti wa Mgodi wa Mwadui,sehemu ya hisa za Dr Williamson aliachiwa dada yake,na kwa sababu hakuwa na uzoefu wa mambo ya madini,De Beers wakamshauri aziuze.De Beers na serikali ya kikoloni wakawa na 50/50 ya umiliki wa mgodi na almasi yote ya Mwadui.Ndoto za De Beers na familia ya Oppenheimer ikawa imetimia....Nayo ni "KUMILIKI MADINI YOTE YA ALMASI CHINI YA ARDHI YA DUNIA

Julius Nyerere alipochukua nchi 1961,baadae aliamua kutaifisha mali zote,akaunda Stamico isimamie sekta ya madini.De Beers iliwauma sana kufurushwa na Nyerere.Hawa Waisrael wakaunda team ya namna ya kumkomesha Julius Nyerere,kwanza waliweka fitna katika soko la almasi pale London,wakazishawishi "Diamond Cutting and Polishing Companies" kule London ziisusie almasi ya Mwadui,Mwalimu akawa mbishi na kuimarisha "TunCut Diamond Co" pale Iringa.

De Beers akazidi kuweka fitna kwenye viwanda vinavyotengeneza vipuri vya mitambo iliyopo Mwadui.Kuanzia mitambo ya kuchimba,kusafisha na kuchambua almasi.Mwishowe vifaa vikachakaa bila kuwa na ukarabati.Uzalishaji ukapungua na almasi ya Mwadui ikapotea katika soko la dunia.Wataalamu toka nje waliokuwa katika mgodi wa Mwadui wakaondoka.Ikawa ni hasara juu ya hasara.

Mwaka 1993,De Beers kupitia Herry Oppenheimer yuleyule wa enzi za Dr Williamson walirudi Tanzania kupitia mtoto wao Nicolaus
Oppenheimer,wakaishawishi serikali ya Tanzania,na hatimaye De Beers Group of Co. wakauziwa 75% ya hisa za mgodi wa Mwadui.Hatimaye ile ndoto yao ya kumiliki madini yote ya almasi ya dunia ikaendelea kutimia.

Hawa ndio De Beers,familia ya Kiyahudi ya Oppenheimer.Wanaosadiki kuwa almasi yote inayopatikana katika uso wa dunia hii ni mali yao.Walimsurubu Dr John T. Williamson,mzungu-msukuma aliyetaka mali ya ardhi ya Mwadui ilete thamani kwa Waafrika na Tanganyika.Hawa ndio De Beers waliomtikisa Mwalimu Nyerere,hawa ndio familia ya almasi duniani,wanaochochea yale ya Angola ya Savimbi,Siere Leone ya Foudah Sankho na DR Congo ya M23 ili waendelee kuchota utajili wa Afrika.

Ndugu zao ni hao Barrick na familia ya Kiyahudi iliyopo Canada.Sisi tumeanza na Barrick,ama zao ama zetu...Tusikate tamaa,cha muhimu ni kujua tu "mbinu" za adui yetu.Tuliokula ugali wa unga wa manjano na uji wa bulga tunastahimili,vipi hawa watoto wa chips mayai na kuku wa boila??Kumekuchaaaa

barafu wa Jf toka Toronto-Canada
Tushirikiane ili tushinde acha uoga Barafu!
 
We kiaz hivi kuna mtu aliwabia msain asilimia 4 ?
Kwahiyo kama kuna mmoja wetu alisaini mikataba kwa rushwa kwa niaba ya nchi tukae kimya? unatumia kiungo gani kutafakari mambo?'mkuu kichwa ulicho nacho si kwa ajili kufugia chawa. tumia vizuri kichwa chako huenda kikakupa faida
 
We kiaz hivi kuna mtu aliwabia msain asilimia 4 ?
Kufanya kosa hakuwezi kuzuia kujisahihisha. ni kweli kuna gharama, lakini haiwezi kuwa sababu ya kunyamazia wizi tuliofanyiwa/tunaofanyiwa na wakezaji kwa msaada wa watendaji wetu.
 
nimemuelewa sana mkuu barafu sababu nimesoma katikati ya mistari yake..
kuhusu kupigania rasilimali zetu,nawasikitikia mnaoweka imani kwa jpm,you will be disappointed.
 
Back
Top Bottom