comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Mh Rais kama kweli kuna nia ya dhati ya kupunguza tatizo hilo basi mi ninaona ukaifumua tume ya kupambana na madawa hayo uihamishe kutoka wizara ya mambo ya ndani na uiweke chini ya ofisi yako kupitia task force maalumu na yenye uadilifu itakayopambana na tatizo hilo tu, Aidha, sheria za na adhabu za kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya zibadilishwe kutoka kifungo kuwa kunyongwa hadi kufa