Vita Baridi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita Baridi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kiranja Mkuu, Apr 25, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi?
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  aibu tupu. Tulisema hatufangamani na upande wowote. Mabepari walitunyima misaada na hata wajamaa wakatunyima misada.
  Misada waliyotupa ni ile ya kutufanya tuendelee kuishi tu.
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chini ya Mwalimu JKN tuliamua kufuata siasa za Chairman Mao!
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tulipookuwa tunasema hatufungamani na upande wowote tulikuwa tunamaanisha nini?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  tulikuwa tunajidanganya tu
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  siasa ndo zimeathiri uchumi wetu
   
 7. P

  Percival JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,560
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Tanzania ilizidi kuwa masikini, Utamaduni - sikuona mabadiliki yoyote.
   
Loading...