Vita baridi inaendelea kimya kimya!:Urusi yatahadharisha baada ya Marekani kutungua ndege ya Syria

Unachosema ni sawa kabisa mkuu na ndo mana wakatugawa ili usipokua upande wa mrusi uwe upande wa marekani na lengo lao ni moja wanachofanya ni kugawana tu maeneo yani ni yale yale ya scramble and partition of Africa and Asia si unajua neo colonialism bado inatawala dunia.

Kuhusu waafrika kuungana ni suala ambalo alilijaribu shujaa Gadafi lakini wote tunajua kilichompata,kwa kifupi tu ni kwamba watu bado hawajawa na nia ya dhati kwa hilo pia ubinafsi uliotopea pamoja na ulafi wa madaraka na unafiki umewajaa viongozi wengi kwenye hili bara letu.

form1
Mkuu nina dreams kuiona africa ikiwa united japo kama sio one state lakini strong africa union, working together, rasilimali zote tulizo nazo afu bado tunawategemea wakoloni kweli, tunaekewa vikwazo, wakati sisi ndio tuwaekee vikwazo wao
 
Back
Top Bottom