Visomo hivi si dalili njema sana

Visomo hivi si dalili njema sana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,154
Reaction score
831,823
Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini. Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi. Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa.

Nimesikia majigambo mengi ya watawala, Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana.

Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania.

Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu.

Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana. Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.

Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi.

Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu.Angalieni malalamiko yasiwe mengi mno.

Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana. Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi.

Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?

Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa wapo. Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!

Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa.

Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
 
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
 
Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini.... Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi... Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa
Nimesikia majigambo mengi ya watawala.... Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya.... CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu... Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana
Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.... Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu... ANGALIENI MALALAMIKO YASIWE MENGI MNO....
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie.. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana.... Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa WAPO... Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa...... Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?

Uongozi uliopo madarakani kwa sasa Tanzania katika mihimili hasa ya Serikali na Bunge ni wa hovyoo haujawahi kutokea Tanzania tangu ilipopata uhuru. Ni kioja sasa wananchi wanakimbilia kwenye albadili huku viongozi wa mihili hii wakijigamba "Sijaribiwi" na mwingine "chezea ndugai wewe!" . Huu ni ulofa wa uongozi uliopitiliza.
 
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Jaribu kusoma tena kwa makini nilichoandika na pata picha kubwa na jiulize kwanini sasa na si wakati mwingine wowote? Bila kujali ni wasanii ama si wasanii, bila kujali kama ni kweli ama si kweli... Mamlaka za kusimamia haki zina shida kidogo ukiona hivi
Na hili la kusema eti 'tuna'ligawa taifa sielewi hata sijui umewaza nini
 
mshana jr
Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana
Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.... Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde!

Haijawahi kutokea hali hii Tanzania , Hapo wasiposikia hiki kilio cha taifa zima basi kuna uwalakini mkubwa.
 
Wacha wasomewe tu kama mbwai na iwe mbwai. Waanzie kutembea uchi na kuokota makopo ndani ya Ikulu.

Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini.... Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi... Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa
Nimesikia majigambo mengi ya watawala.... Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya.... CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu... Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana
Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.... Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu... ANGALIENI MALALAMIKO YASIWE MENGI MNO....
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie.. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana.... Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa WAPO... Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa...... Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
 
Mkuu mshana jr, umenena vyema sana.

Hawa watawala wanajichanganya sana.

Kama ulivyotoa mfano juu ya Ngoma ya Ney ilipoachia baada ya muda ikapotea.

Kama wangekuwa na akili , wangeacha kutozuia watu kuchangia damu maana lingefanyika kwa muda mfupi na kusahaulika.

Lakini wakizuia ndio wanachochea chuki miongoni mwa jamii.

Serikali haina dini, lakini wananchi wake wana dini, inashangaza serikali ambayo haiamini juu ya Imani inakataza watu wenye Imani kufanya mambo ya Kiimani.

Wanahofia nini hasa!

Dalili ya mvua ni mawingu!!
 
IMG-20170915-WA0108.jpg
 
Back
Top Bottom