CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 18,200
- 34,288
Hapa patamu sana wacha yauane mafisi maji hayaWameenda kuyasawazisha
Maana Nchimbi na Samuya haziivi chungu moya. Wote watoto wa Kikwete.
Na anawacheka ujinga hadi keshoKiboko wa wachawi ndo mwisho wa maelezo 😂
Wapumbavu walinyooshwa vilivyo 😂
Mkuu wewe umefanya check-up upo mzima 100%?Nchimbi kwa muonekano tu ni mgonjwa! Hivi hii nchi inafanya veting kwa viongozi wake?
Jamaa mwamba sana huyu 😂Na anawacheka ujinga hadi kesho
Unateseka ukiwa wapi ? Huyo marehemu ndio muasisi wa yanayoendeleaBado mzimu wa marehemu unakutesa?
Nenda kwa mwamposa akupake mafuta
Bc na tuseme JPM ameiga kwa JK, na list inaendelea?Unateseka ukiwa wapi ? Huyo marehemu ndio muasisi wa yanayoendelea
View attachment 3525149View attachment 3525150View attachment 3525151
View attachment 3525154
Hiyo ndio kamati ya maridhiano imeanza warm up.1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu.
2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto.
3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu.
Anyway ngoja niagize Pop corn nifuatilie kwa ukaribu hizi ziara 😃
Kuna kampuni la dini CEO wao mmoja alikerwa na uwepo karibu wa jakaya na serikali,lile shirika Lina umafiaKikwete mbona anavaa bullet proof kubwa sana anaogopa nini???
Aulizwe Niko pamoja na SamiaKwa kweli hii inatia shaka,kwa nini vigogo wapo zenji!?
Mwanaharakati maria katoa uchambuzi wa video ya mama hotuba ya mwaka mpya kadai ni AI,sina mb za kurudia kutazama
Au wanataka mwinyi akubali kuwa makamu wa muungano!?
Najua Maza yupo likizo ya wiki mbili,lakini kwa nini JK yupo huko,au kuna kikao cha CCM!?
Wajinga wana ahirishwa ya tanganyika wanaenda kutukuza ya zanzibarMkuu hii ni Januari, leo tarehe 5. Hayo ni maandalizi ya sherehe ya miaka 62 ya Mapinduzi Zanzibar.
Kwa kweli hii inatia shaka,kwa nini vigogo wapo zenji!?
Mwanaharakati maria katoa uchambuzi wa video ya mama hotuba ya mwaka mpya kadai ni AI,sina mb za kurudia kutazama
Au wanataka mwinyi akubali kuwa makamu wa muungano!?
Najua Maza yupo likizo ya wiki mbili,lakini kwa nini JK yupo huko,au kuna kikao cha CCM!?
Mkuu sijakuelewa! Kwani Tanganyika kuna sherehe za mapinduzi? Hivi na kule tulipata uhuru kwa mapinduzi? Sikuwepo wakati ule. Hemu nipashe kidogo.Wajinga wana ahirishwa ya tanganyika wanaenda kutukuza ya zanzibar
Gen Z hawatatuangusha siku hiyo lazima kinuke tenaSi kuna Jan 12 sherehe kawaida kule?