The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,857
Mbona sasa wote wako huko?Wanaulizana kama Venezuela itawachukua wote.Wanaogopa
Wameenda kuyasawazisha1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu.
2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto.
3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu.
Anyway ngoja niagize Pop corn nifuatilie kwa ukaribu hizi ziara ๐
Watakuambia si mgonjwa asilani ila ni mtulivu na yupo kwenye tafakari nzito tu.Nchimbi kwa muonekano tu ni mgonjwa! Hivi hii nchi inafanya veting kwa viongozi wake?
Bado mzimu wa marehemu unakutesa?Kuna kipindi kulikuwa na shughuli nyingi za kiserekali Chato๐ผ