Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

Hujanielewa! Mimi naona kama hicho kiasi ni kidogo ina mimi nitoke Mlandizi hadi Kigali kwenda na kurudi bado kuna mizururo mingi huko Rwanda kwa kiasi hicho? Ndo maaana nawaza labda min -me anaongezea panapopelea.
Umeambiwa safari inaanzia Mwanza to Rwanda sio mlandizi..

Huko mlandizi toka kwa nauli yako binafsi ufike hadi Mwanza.
Halafu kwanini kila kitu mnahisi watu wanataka kuwatapeli? Mbona Seran maelezo yake yanaeleweka..!! Hebu acheni negativity zenu!!
 
Naona matapeli mnateteana !?
Wee nawe kama huna hela ya nauli sema tukuchangie..!!
Acha kuvuruga biashara za watu.
Roho mbaya mpaka kwa wanawake, mlitaka wajiuze?
 
Sio kwamba nakuharibia biashara ila Rwanda ni kama hakuna life. People are soulless. Clubs hazina madem usiku. The worst nightlife and day activities in all cities. Mara mia uwapeleke watu Nairobi(wateja wa uchumi wa juu) au Kampala(wateja wa uchumi wa chini)
 
Rwanda hamna vivutio nikama tuu bukoba ilivyo kwanini msifanye tour ya ngorongoro watu wakajilaze
 
This is not my business, hatuendi kwaajili ya clubs na madem.. and ninatafuta watu wakujoin group letu tunasafiri sehemu nyingi, hii safari tumeshaenda last year watu wameipenda na wanataka irudiwe na haiwezi kughairrishwa tukitoka hii tunaingia dubai in Mombasa!
Thanks for your opinion☺️
 
Umeambiwa safari inaanzia Mwanza to Rwanda sio mlandizi..

Huko mlandizi toka kwa nauli yako binafsi ufike hadi Mwanza.
Halafu kwanini kila kitu mnahisi watu wanataka kuwatapeli? Mbona Seran maelezo yake yanaeleweka..!! Hebu acheni negativity zenu!!
Mtu mwenye pesa hanaga negative mindset za kishamba hizi, achana nao babes😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…