Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

Seran

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
10,620
Reaction score
31,814
30A1A739-5829-4452-A8CE-C3505A4E0DBE.jpeg

๐ŸŒ TUNARUDI TENA RWANDA 2026 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ
Kama ulikosa 2026, basi usipange kukosa tena!

Tunakupeleka kwenye safari ya kipekee ya Rwanda kuanzia
๐Ÿ“… Tarehe 4 hadi 7 Mwezi wa 4 (Aprili)

๐Ÿ”” Fanya booking mapema ili kuepuka kukosa nafasi, kwani nafasi ni chache na mahitaji ni makubwa.

๐Ÿ’ฐ Gharama: Tsh 390,000/= kwa mtu
๐Ÿ“ Kutokea Mwanza

๐Ÿ’ผ Gharama hii itahusisha:
โœ”๏ธ Usafiri wa kwenda na kurudi
โœ”๏ธ Hotel (malazi bora)
โœ”๏ธ Breakfast
โœ”๏ธ Guide fees
โœ”๏ธ Entrance fees kwenye vivutio
โœ”๏ธ Safari iliyoandaliwa kwa ratiba nzuri na ya kufurahia

โœจ Kwa nini uchague sisi?
๐Ÿ‘‰ Sisi ni Visit Lake Zone,
๐Ÿ‘‰ Tunaandaa tour za kiwango cha juu
๐Ÿ‘‰ Kwa gharama nafuu sana
๐Ÿ‘‰ Huduma bora, usalama na experience ya kukumbukwa

๐Ÿ“Œ Hii ni safari ya burudani, mapumziko na kujifunza โ€”
usipange kukosa!

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa kwa booking na maelezo zaidi
Nafasi zikijaa, safari imejaa!
 
Tunalo group kwaajili ya safari

Mpka sasa tumeanza kujuzana na kupeana ndondondo za safari.

Pamoja na Sheria tutakazo fuata kama group trip...


Natuma hapa ili uone ikiwa unaweza join us
 
"habari za leo.


Katika kuelekea safari yetu, ningependa kugusia machache kuhusu utaratibu wetu:

1. Mchanganyiko wa Washiriki: Safari yetu inajumuisha watoto, wazazi, na wanandoa. Hivyo, ustaarabu na lugha nzuri ni kipaumbele chetu.

2. Miongozo (Guidelines): Naandaa ratiba na sheria ndogo zitakazotuongoza ili kumlinda kila mshiriki na kuhakikisha maslahi ya wengi yanazingatiwa.

Lengo: Ni kufurahia pamoja bila kuathiri faragha au amani ya mwingine.

Ratiba kamili nitawatumia hivi punde. Asanteni kwa ushirikiano wenu."
 
View attachment 3532841
๐ŸŒ TUNARUDI TENA RWANDA 2026 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ
Kama ulikosa 2026, basi usipange kukosa tena!

Tunakupeleka kwenye safari ya kipekee ya Rwanda kuanzia
๐Ÿ“… Tarehe 4 hadi 7 Mwezi wa 4 (Aprili)

๐Ÿ”” Fanya booking mapema ili kuepuka kukosa nafasi, kwani nafasi ni chache na mahitaji ni makubwa.

๐Ÿ’ฐ Gharama: Tsh 390,000/= kwa mtu
๐Ÿ“ Kutokea Mwanza

๐Ÿ’ผ Gharama hii itahusisha:
โœ”๏ธ Usafiri wa kwenda na kurudi
โœ”๏ธ Hotel (malazi bora)
โœ”๏ธ Breakfast
โœ”๏ธ Guide fees
โœ”๏ธ Entrance fees kwenye vivutio
โœ”๏ธ Safari iliyoandaliwa kwa ratiba nzuri na ya kufurahia

โœจ Kwa nini uchague sisi?
๐Ÿ‘‰ Sisi ni Visit Lake Zone,
๐Ÿ‘‰ Tunaandaa tour za kiwango cha juu
๐Ÿ‘‰ Kwa gharama nafuu sana
๐Ÿ‘‰ Huduma bora, usalama na experience ya kukumbukwa

๐Ÿ“Œ Hii ni safari ya burudani, mapumziko na kujifunza โ€”
usipange kukosa!

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa kwa booking na maelezo zaidi
Nafasi zikijaa, safari imejaa!
Kuona nini!? Manyani na Sokwe au !?
 
๐ŸŒ SAFARI MAALUM YA KIGALI โ€“ RWANDA KUTOKA MWANZA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ

Tunakuandalia safari ya kipekee kwenda Kigali, Rwanda kutoka Mwanza kwa gharama ya Tsh 390,000/= tu.

๐Ÿ“Œ Kifurushi hiki kinajumuisha:
โœ… Usafiri wa kwenda na kurudi
โœ… Hotel nzuri na salama
โœ… Breakfast kila siku
โœ… Tour guide fees zote
โœ… Ziara za kujifunza tamaduni na utamaduni wa Rwanda

๐Ÿ’ณ Malipo unaweza kufanya kwa awamu ili kujihakikishia nafasi mapema.
โš ๏ธ Nafasi ni chache, wahi kabla hazijaisha.

Njoo tusafiri, tujifunze, turefresh mawazo na kufurahia uzuri wa Rwanda โ€“ nchi ya nidhamu, utamaduni na maendeleo.

Karibu usafiri wa uhakika na wa kumbukumbu. โœจ
Kuona nini!? Manyani na Sokwe au !?
 
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ
Mpaka sasa tuna nafasi 13 tu zilizobaki

Fanya booking, kuepuka kukosa nafasi
 
Back
Top Bottom