Habarini ndugu zangu!, nimekuja kuulizia kwa wenye kujua mahali inapopatikana ofisi kuu ya hawa VF kwa arusha. Mtandaoni nimeangalia lakini nataka na maelezo yenu ndugu, pia naomba kama kuna mtu anaweza kujua undani zaidi (yaani mishahara yao ikoje huko).....Msaada jamani mm nataka kuonana nao siku si nyingi...naombeni ABC's