Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
Na hapo alikuwa kama ghorofa ya kumi na hivi... Hapo nimem-zoom tu!Ikiendanayo chini sipati picha
huyu kishoka ama kafumaniwa,hapa ishukuriwe cement iliyotumika kushikiza iyo ac ,kama hapa bongo huyu jamaa ni marehemu(ratio ya cement na mchanga)
huyo ni kishoka au ni fundi ac?
Hata muonekano wake na anayofanya hapo ni wa KISHOKASHOKA tu...electrical engineers na technicians ndio wanasoma mambo ya refregeration so huyo ni kishoka tu
ila mzee hizo mount za hiyo ac external pc zikikatika jamaa ana kula mzinga wa hatariHata muonekano wake na anayofanya hapo ni wa KISHOKASHOKA tu...
Si ndo Mhindi kaenda fanya vitu vyake ulaya hapo!halafu hii ni ulaya au india hii.. manake namuona kama jamaa mhindi vile
Si ndo Mhindi kaenda fanya vitu vyake ulaya hapo!