Vishikwambi…

Mmeulizwa swali lakini jibu hakuna,maneno meengi kama kasuku.
 
kuna watu huwa sijui wapoje,,
mtoa mada unaulizia bei ya kishiwambi tuuu,yaani tukwambie tu bila kuelewa tnapoteza nguvu hizo kwa lengo gani?
kwanza hata hivyo vishikwambi utakuwa huvijui nini kwa undani,

Hizi ni tablet kama zilivyo nyingine,nazo hutofautiana kampuni.kwahiyo bei inatofautiana kulimganana kampun,pia walimu wenyewe wamepewa kampuni hazifanani.Ok tukuulize pia,unataka kujua bei ya kishikwambi cha mwalimu nana vile??
 
Naomba mweye kujua Bei ya vishikwambi walivyopewa walimu shilingi ngapi aniambie.Kuna jamaa mmoja alinambia eti vinauzwa laki mbili Zanzibar.Je,ukweli ni upi?
muulize mwl yeyote akutumie jina la kishkwambi. Kisha jifanye unaagiza mtandan na utapokelea ulipo. Bei utatajiwa.
 
Naomba mweye kujua Bei ya vishikwambi walivyopewa walimu shilingi ngapi aniambie.Kuna jamaa mmoja alinambia eti vinauzwa laki mbili Zanzibar.Je,ukweli ni upi?
Vile vishikwambi vinazidiw uwezo na smartphone ya kawaida ya 150,000/-

Kwahyo inawezekan tuu hata ukiwa na 80,000/- unawez miliki chako

.nimeshirik zoez navijua vzr
 
Mmeulizwa swali lakini jibu hakuna,maneno meengi kama kasuku.
Mimi nakujibu bei ya Tablet, kuanzia 250,000/= utapata kwenda juu hapo Sasa brand na model na specifications ndio inapandisha price up.

Kama unavyojuwa Sumsung ndio anatawala eneo hilo usitegemee Tablet ya Sumsung Kwa laki mbili labda Lenovo.

Kingine kwenye hizi bidhaa unapokuwa na uhitaji zaidi ya moja mnapatana.

Sasa to be more precisely kujibu swali lako ndio Kishikwambi unapata Kwa laki mbili Darisalama wala huna haja ya kwenda Zanzibar.
 
Kwanza sio vyao bado vikochini ya serikali ni Mali ya umma
Lkn wamekabidhiwa na wameamviwa wakistaafu wanarejesha....kwa hii kasi ya technology sidhani hata vita exist 5 coming years!!
 
Kwanza sio vyao bado vikochini ya serikali ni Mali ya umma
kwan shida nin, leo ukipewa mjengo na v8 ya umma utumie unakataa? Ya bure kabisa!

Walimu kupewa hvo vidudu kila mbwa koko kaumia na kuvipondea.

Siku akitoa mikopo ya ist napo mtaponda? Punguzen wiv kwa watu unaoamin unawaz kila kitu kunguru nyie.
 
Kama anataka kuuziw au kuuza?umeanza vizuri ukamaliza kama wao.
 
Sisi tuliovichukua kama rehani na muda wa malipo ushapita unatushaulije maana rafiki zangu walimu hatuonani nikipiga simu hawapokei?
 
Sisi tuliovichukua kama rehani na muda wa malipo ushapita unatushaulije maana rafiki zangu walimu hatuonani nikipiga simu hawapokei?
Mali ya serikali hiyo akikuchengia bas uwe mpole...vinginevyo its a government property not for sale either
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…