Vishawishi Mashuleni

wida

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
247
Reaction score
40
jamani kuna hoja nying znazuka kwa vijana #wanafunzi eti usipo kuwa na dem unaweza kufeli kutokana na nyege nyege .je unalizungumziaje swala hili
 
Dogo umeamua....unasoma shule gani vilee!
 
Hivi shule bado zimefungwa eeh maana huu ni uendawazimu wa kule Facebook.
 
jamani kuna hoja nying znazuka kwa vijana #wanafunzi eti usipo kuwa na dem unaweza kufeli kutokana na nyege nyege .je unalizungumziaje swala hili

watoto wa sku hizi mtaishia kufeli na kujaza mazero tu. Pumbaaf
 
jaman wabongo bhana mtu anauliza ye anaweka mada nyingne juu .yan bora upite tu
 
jaman wabongo bhana mtu anauliza ye anaweka mada nyingne juu .yan bora upite tu

we hujaelewa madai yao huku ni ma great thinker kwahiyo hapo umeadika tu upuuzi p:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…