Visa ya Australia si rahisi, bora marekani

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Wajuba hii nchi vigezo vya kuingia Australia hapana ahseee kumbe ni ngumu sana. Yani bora USA nasidhani kama wewe ni mtanzania mwenye uchumi wa kawaida kama utatoboa, yani hata kama show money in your account ikawa $30000 Kwa student viza bado wanakaa na college zao ni ghaliii mnooo sijui wanalingia nini hawa mbweha

Nawaachia linchi lao ngoja tu niende marekani basi
 
Nenda Korea,...
 
Back
Top Bottom