asianue mchezo......
Wadau ni shauri kwa hili, Binafsi simuelewi mwenye nyumba wangu (mama mwenye nyumba), cku hizi ameanza tabia ya kuanika kufuli zake karibu na dirisha langu, mbaya zaidi juzi wakati mvua inaanza kunyesha cku ya jmoc nilipokea cmu yake ikiniomba nimuingizie nguo zake ndani japo, akutamka wazi ni nguo gani, lkn alimaanisha hzo kufuli zake, Ushauri wenu ni muhimu kwangu.