Mkuu,,,Leo nmetomgoza mke wa mtu ile kama anataka kukubali mara kama anakataa kiufup anataka hatakiKufumaniwa na mke wa mtu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa kijamii na kisheria. Katika jamii nyingi, kitendo hiki kinaweza kusababisha aibu, hasira, na hata ghasia. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wamepigwa, kujeruhiwa, au hata kuuawa kutokana na kufumaniwa na mke wa mtu
Kisheria, nchini kulala na mke wa mtu si kosa la jinai, lakini ni kosa kimaadili na kiimani. Hata hivyo, mume anaweza kudai fidia mahakamani kwa kitendo hicho1. Katika baadhi ya kesi, suala hili linaweza kusuluhishwa na viongozi wa dini, wazee wa familia, au viongozi wa mtaa
Kwa ujumla, ni vzr kuepuka vitendo vya aina hii ili kuepusha madhara na migogoro isiyo ya lazima. Ni fundisho kwamba uaminifu na heshima katika ndoa ni muhimu sana kwa amani na utulivu wa jamii.
Kusimulia visa vya kufumaniwa kunaweza kuwa njia nzuri ya kutoa mafunzo na kuonya wengine kuhusu madhara ya tabia hiyo
Ndugu zangu, naomba mwenye kisa cha kufumaniwa ili kutoa mafunzo na kuonya kuhusu madhara ya tabia hii. Tafadhali zingatieni kwamba visa hivi vinaweza kuwa na mambo mazito.
Asanteni
Lete kisa ndugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jitahidi ukae mbali na mke wa mtu mile 100, ikiwezekana ongeza na 50, kaa mbali sana na mwanamke aliyeolewa, wapo wenye akili timamu, wapo ambao hawawezi kujishikilia, unajikuta matatizoni.
Naombea unitunuku kimasihara ili tupate cha kusimulia hapa..🤸😉Duh aiseee ngoja nifatilie huu uzi
Naombea unitunuku kimasihara ili tupate cha kusimulia hapa..🤸😉
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nilikula mke wa mtu nikafumaniwa,nilimtuliza nikamwandikia cheki,nina wana ile benki,asubuhi nikawahi kuiblok,jamaa kwenda kucash out hola,aliniloga vibayaJitahidi ukae mbali na mke wa mtu mile 100, ikiwezekana ongeza na 50, kaa mbali sana na mwanamke aliyeolewa, wapo wenye akili timamu, wapo ambao hawawezi kujishikilia, unajikuta matatizoni.
Umeeleweka vyema mwana Utopolo mwenzangu toka Tabata Matumbi.Jiheshimu mkuu
achana na huo mpangoMkuu,,,Leo nmetomgoza mke wa mtu ile kama anataka kukubali mara kama anakataa kiufup anataka hataki
Sijui nimfanyaje ajae kwenye mfumo
Mke wa mtu sumu wahenga walisema.. Always ukifumaniwa lazima ufanyiwe mambo ya aibuKufumaniwa na mke wa mtu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa kijamii na kisheria. Katika jamii nyingi, kitendo hiki kinaweza kusababisha aibu, hasira, na hata ghasia. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wamepigwa, kujeruhiwa, au hata kuuawa kutokana na kufumaniwa na mke wa mtu