Visa Official Thread

unique profesionalism ndio nini mkuu? Wengine tumeishia la saba B.
 
Asante. Nitafuata taratibu nataka niende likizo moja huko. Ila nasikia kuna nyoka sana. Naogopa sana nyoka.
 
Asante. Nitafuata taratibu nataka niende likizo moja huko. Ila nasikia kuna nyoka sana. Naogopa sana nyoka.
Yeah alafu wanasumu sana. Pia kuna nzi wakubwa sana. Boarder control pia ipo juu sana. Public transport yao ipo bomba pia. Ukipanda public transport kuzunguka mjini free. Mfano labda unatoka posta unaenda mwenge hulipi nauli totally free mizunguko ya mjini. Ukitoka nje ya mji labda kibaha hivi ndio unalipa nauli. Na ukishuka kwenye public transport kama umefika safari yako lazima useme thank you to the driver.
 
unique proffesional kama ipi? ndg..
 
Kwani unajua umri na status yangu ? Yaani hata kupata visa ya kwenda tu hapo Kenya ni mtihani. Nisaidie jinsi ya kupata visa ya kwenda Australia jamani.
Omba chuo ukipata admission visa unapata kirahisi tu.Njia ya kwenda kusoma ndio njia rahisi kuliko zote ya kupata visa nchi yoyote
 
Omba chuo ukipata admission visa unapata kirahisi tu.Njia ya kwenda kusoma ndio njia rahisi kuliko zote ya kupata visa nchi yoyote
kwenye hiyo admision hawatahitaji uwe umelipia fee japo kidogo?ukizingatia huna mpango wa kusoma.
 
Ubalozi wa Australia kwa ukanda wa Afrika mashariki, upo Nairobi. Mtaa wenye ofisi za world bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…