Visa na mikasa

Visa na mikasa

OSCAR A. PESSA

New Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Kwa watu tusio na ajira iko hivi...
Kuna % kubwa ya watu ukiwatafuta kuhusu mambo ya kazi wanakujibu kua upo kimya sana kijana mara unajifungia sana njoo mjini mwengine eti amesahau... Yani mi nashindwa kuwaelewa kabisa maana wote ndio majibu yao hivi huna ajira kila siku utakua mtu wa kwenda posta kuzurura bila kazi maalumu.jamani maisha bila ajira ni ngumu sana..
 
True said Oscar! Nmekumbana na hiz kashikashi washkaj zangu wananiita daslam tukatembeze bahasha eti kuna kazi nying. Ninachowaza kwann mpaka sahvi hawajapata kama kuna kazi nying? ni shdaaa chalii wangu
 
Kwa watu tusio na ajira iko hivi...
Kuna % kubwa ya watu ukiwatafuta kuhusu mambo ya kazi wanakujibu kua upo kimya sana kijana mara unajifungia sana njoo mjini mwengine eti amesahau... Yani mi nashindwa kuwaelewa kabisa maana wote ndio majibu yao hivi huna ajira kila siku utakua mtu wa kwenda posta kuzurura bila kazi maalumu.jamani maisha bila ajira ni ngumu sana..
Achana nao hao kaka fanya yako wao kazi kwenda kuangalia STRABAG wanavyomwaga zege tuu huko town na vumbi zao zile wakati nauli tuu ni shughuli pevu kweli kweli...
Kama kuna ajira nyingi mbona wao hawapo sehemu flani ndio wakuite wewe na nauli wakupe ukawapelekee barua wanafanya kutembea na bahasha tu kama mesenger wa kampun flani...:shock:
 
Back
Top Bottom