visa vya maofisin ni tabu mtu anakutaka kwa mabavu kisa cheo alicho nacho hasa private sector huwa najiulizaga kama kaniganda mim je wangapi wamenitangulia au tunaOfuatia na UKIMWI je? mimi huwa naacha kazi kulikon kuukwaa UKIMWI huku unajiona.
unakomaa navyo tu,we piga kaz Mkuu,ukifuatilia hayo kaz hutofanya.Achana na binadamu mwenye tabia ya maringo na kujikweza ingali mahala ulipokaa moyo unaompa kiburi napajua piga kaz,tunaoishi ndivyo tulivyo.