Visa katika maeneo ya kazi

Jan 20, 2016
10
5
Kwanini mtu/mkuu wa kazi anakuwa na visa na mfanyakazi mwenzake, badala ya kumwambia kama kuna kosa amefanya ajirekebishe yeye anaamua kumfanyia visa?

Naomba maoni yenu wana JF
 
visa vya maofisin ni tabu mtu anakutaka kwa mabavu kisa cheo alicho nacho hasa private sector huwa najiulizaga kama kaniganda mim je wangapi wamenitangulia au tunaOfuatia na UKIMWI je? mimi huwa naacha kazi kulikon kuukwaa UKIMWI huku unajiona.
 
unakomaa navyo tu,we piga kaz Mkuu,ukifuatilia hayo kaz hutofanya.Achana na binadamu mwenye tabia ya maringo na kujikweza ingali mahala ulipokaa moyo unaompa kiburi napajua piga kaz,tunaoishi ndivyo tulivyo.
 
Kwanini mtu/mkuu wa kazi anakuwa na visa na mfanyakazi mwenzake, badala ya kumwambia kama kuna kosa amefanya ajirekebishe yeye anaamua kumfanyia visa?

Naomba maoni yenu wana JF
Kama ni demu analeta visa dawa yake ni moja tuuuuu,we mpe vizawadi kibao na ataacha na pia iko siku atakuzawadia something special.
 
Back
Top Bottom