mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Kukiwa takribani siku 12 tangu kufungwe simu feki (fafa) kumetokea simtomfahamu ya watu wanaomiliki simu halali lakini wakajikuta zimefungiwa, wateja hawa wamerudisha simu madukani kutaka wapewe nyingine kwani hizi simu zina waranty, wakati hueo uo wateja hawa waliwahi kuzicheck na kuambiwa kuwa ni original lakini baadaye wamekuta zimejifunga, wengine waliandamana mpaka kwa watengenezaji wenyewe na kuzihakiki wakakuta ni original lakini haikuwasaidia kuziwasha kushika network.
Utafiti wa kiufundi nilioufanya baada ya kadhia hii, nilikuta kwamba, simu nyingi huko nyuma ziliwahi kupata virus wakali ambao kwa kawaida yao uharibu file kwenye samsung linaitwa EFS na kwenye simu nyingine linatwa NRV kwenye nokia RPL , haya ni mafail ambayo ubeba certificate za viwandani zilizokubalika. Hizi zikifutika kwenye simu, haiwezi kufanya kazi kwani haina uwezo wa kujiregista kwenye mitambao ya simu kwa kuwa hazina namba za utambulishi.
Kawaida virus wakiingia na kusababisha simu kujirestart, au kuzorota, watu ukimbilia kufanya kitu (Hard Reset) yaani kuzirudisha setting za kiwandani, wakati huo simu nyingi hasa aina MTK na Spd ukizifanyia hard reset zinafuta IMEI No. na S/No. kawaida IMEi no. unaweza ukazirudisha, lakini kwenye simu nyingi baadhi ya software hawakuweka option ya ku-re-build S/No. hivyo basi Serial No. husoma 123456789ABCDF Ukicheck kupitia simu kwenye phone info/About inayozungumzia information zote za simu.
Mafundi wengi wa mitaani hili uwa hawalijui, wanaweza ku-rebuil IMEI (kurudishia imei ) ambayo inasema IMEI Null/ Invald IMEI, IMEI 00000044444000, IMEI 0000000000, IMEI 99000099000. Kumbuka software nyingi hazina sehemu ya rebuild S/No. Zina Rebuild IMEI tu. Hivyo basi kama ikishindikana kurebuild IMEI no. haiwezi kufanya kazi na TCRA watakufungia tu kwa kuwa wanaona S.No. ni feki ingawaje IMEI Original.
Virusi vinavyosababisha kuua S/No. ni Time Service, Adobe Air, Monkey Test , engrils, wadudu hawa uwezi kuwatoa kwa kuformat simu, bali kuna software zakuwatoa. Tabia za wadudu hawa wakati wanaingia ujifanya kuwa kuna battery life enable, au udanganya kuwa simu imejaa download software ya kupungunza file na wanakupa lini, au ukuwekea software inayoonyesha wanawake wakionyesha sehemu ya miili yao, ukicklic tu umeliwa, itaanza kuinstall magemu na NK.
Jinsi ya kuepukana na mvutano kati ya Mteja na muuza simu, TCRA na Mteja, Kampuni za simu na Mteja, ni kuakikisha unatakiwa kununua anti-virus ambazo zinauzwa kwenye makampuni sio hizi za free download, hata za google store hazina huhakika.
Njia nyingine kama umepatwa, unaweza kutembelea mafundi wenye uzoefu usije ukafuta S.No na IMEi no. kwani simu yako itakuwa haitumiki tena.
Mteja simu ikiharibika sio jukumu la Muuza duka, TCRA, wala Makampuni ya simu, ni wewe kutonunua anti-virus sahihi, zinazokubalika, ukiwa umezimiwa simu original check S.No. ukikuta ni 123456789ABCDEF hiyo simu inatambulika kama feki.
Simu zinaharibika zaidi ni Tecno, Huawei, Bravo, Itel, ZTE na zote zinazotumia Chip ya MTK
Kampuni za simu zinazotumia simu laini mbili zote sio sahihi kwani haiwezekani simu ikawa na S.No. moja na kuwa na IMEI mbili, hivyo basi, umefika wakati wa Tanzania kuwa kama ulaya kuzipiga marufuku zimu zote zinazotumia line mbili wakati zinamiliki S. No. moja.
Mfano huu
View attachment 360878
Mifano ipo mingi, angalia sehemu ya S.No. ya Ndani linganisha na ya nje