Virus Hiding All Folders on FlashDisk

Wanzuki

Senior Member
Apr 8, 2009
115
13
Kwa wale ambao tunatumia public computers zilizounganishwa kwenye mtandao nafikiri wengi wamekumbana na tatizo hili: Unastukia huoni folder hata moja kutoka kwenye flashdisk yako. Alafu cha ajabu unaona .exe files zenye majina ya folders zako na icon ya folder (windows) kiasi kwamba unaweza ukafikiri ni folders!

Kuzirudisha zionekane nimekuwa nikiingia kwenye DOS, nabadilisha drive kutoka C kwenda ile ya FlashDsk; e.g. kama flash ni drive E, type E: then Enter. Baada ya hapo issue this command: attrib -s -h *.* /s /d

Folder zote zinaonekana, na-delete the .exe files manually, lakini zinarudi!!
Tafadhali kama kuna mtu anajua namna ya kumwondoa huyu kirusi asaidie! McAfee niliyonayo imeshindwa!
 
Tumia nod au kaspesky kuanzia version 6 halafu uwe na rising pc doc hiyo itakusaidia kuzuia flash kuwa infected siku ingine
 
Tumia nod au kaspesky kuanzia version 6 halafu uwe na rising pc doc hiyo itakusaidia kuzuia flash kuwa infected siku ingine

Mimi pia nimekumbana na tatizo hili lakini "Rising pc doc" ni kitu gani hicho?
 
Mimi pia nimekumbana na tatizo hili lakini "Rising pc doc" ni kitu gani hicho?
Hata mimi niliwahi kukutwa na tatizo linalofanana na hilo kwenye flash disk yangu. Tatizo langu ilikuwa ni wakati wa kufuta mafaili yote kwenye flash disk ya 1GB. Nilipofuta mafaili yote ikaonekana iko empy kabisa. Cha ajabu ukienda kwenye properties ya flash hiyo unakuta free memory ya 600MB. Sasa 400MB zimetumikaje wakati disk haina faili hata moja?
 
Na mimi pia tena sasa hv hivi Flash yangu inazingua hiyo
 
Ukiwa na tatizo hilo kwenye xp ukihamisha flash yako kwenda kwenye vista mafile yanaonekana lakini yakiwa faint na hizo folders.exe unaziona na unaweza ukazidelete ni ant virus gani inaweza kutoa tatizo hili na ni virus gani analeta hili wenge
 
Hata mimi flash kwenye xp haioneshi folders lakini kwenye vista folders na files zote zinaonekana. kirusi kinajionesha nachicha hakitoki kwa avast.
 
Jaribu njia hiii
First Turn off System Restore Steps to turn off System Restore

1. Click Start, right-click My Computer, and then click Properties.
2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to select the Turn off System Restore check box. Or, click to
select the Turn off System Restore on all drives check box.
4. Click OK.
5. When you receive the following message, click Yes to confirm that you
want to turn off System Restore.

Then After Restart you Computer Safe Mode With Networking how to Restart?
1. Log out and reboot your machine.
2. When the
machine starts the reboot
sequence, press the F8 key
repeatedly.
3. Select Safe Mode with Networking from the resulting menu.
4. When the log in screen comes up, log in as Administrator. By default,
Administrator has no password.
5. The machine will continue booting, but the Windows desktop will look
different. In The Safe Mode With Networking Then Download and Scan By Using
Norman Malware To Remove Virus Press here
http://majorgeeks.com/downloadget.php?id=5450&file=1&evp=6980e63d4e482f0670e991265b3250e7

6. To Remove Virus in you Computer Download and Scan By Using Both Super Anti-Spyware Press here http://www.superantispyware.com/
And Malwarebytes' Anti-Malware Press here http://www.download.com/3001-8022_4-10804572.html?spi=fb0ff4862fe5064a5a0a91a28a3fbe34
7. After Remove Virus in you Computer Turn On system Restore Steps to turn on
System Restore

1. Click Start,
right-click My Computer, and
then click Properties.

2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to clear the Turn off System Restore check box on all drives check
box.
4. Click OK.

After a few moments, the System Properties dialog box closes Then
Restart you Computer.

iKsha download Anti-Virus jina lake Avira AntiVir Personal bonyeza Hapa http://www.download.com/Avira-AntiV...contentBody;mostPopTwoColWrap&cdlPid=10901492

Hiyo Avira anti-Virus ni nzuri kuliko
Avast ,Avg,NOD32,Kaspersky, and Norton? Kuhakikisha Maneno yangu ya kweli bonyeza hapa http://www.virusbtn.com/news/2008/09_02 Kisha angalia je bado unayo virus?
 
Jaribu njia hiii
First Turn off System Restore Steps to turn off System Restore

1. Click Start, right-click My Computer, and then click Properties.
2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to select the Turn off System Restore check box. Or, click to
select the Turn off System Restore on all drives check box.
4. Click OK.
5. When you receive the following message, click Yes to confirm that you
want to turn off System Restore.

Then After Restart you Computer Safe Mode With Networking how to Restart?
1. Log out and reboot your machine.
2. When the
machine starts the reboot
sequence, press the F8 key
repeatedly.
3. Select Safe Mode with Networking from the resulting menu.
4. When the log in screen comes up, log in as Administrator. By default,
Administrator has no password.
5. The machine will continue booting, but the Windows desktop will look
different. In The Safe Mode With Networking Then Download and Scan By Using
Norman Malware To Remove Virus Press here
MajorGeeks.Com - Contacting Download Site

6. To Remove Virus in you Computer Download and Scan By Using Both Super Anti-Spyware Press here SUPERAntiSpyware.com | Remove Malware | Remove Spyware - AntiMalware, AntiSpyware, AntiAdware!
And Malwarebytes' Anti-Malware Press here Thank you for downloading Malwarebytes Anti-Malware from Download.com
7. After Remove Virus in you Computer Turn On system Restore Steps to turn on
System Restore

1. Click Start,
right-click My Computer, and
then click Properties.

2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to clear the Turn off System Restore check box on all drives check
box.
4. Click OK.

After a few moments, the System Properties dialog box closes Then
Restart you Computer.

iKsha download Anti-Virus jina lake Avira AntiVir Personal bonyeza Hapa Avira AntiVir Personal - Free Antivirus - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

Hiyo Avira anti-Virus ni nzuri kuliko
Avast ,Avg,NOD32,Kaspersky, and Norton? Kuhakikisha Maneno yangu ya kweli bonyeza hapa Virus Bulletin : News - AV-Test release latest results

thanks
 
Hata mimi niliwahi kukutwa na tatizo linalofanana na hilo kwenye flash disk yangu. Tatizo langu ilikuwa ni wakati wa kufuta mafaili yote kwenye flash disk ya 1GB. Nilipofuta mafaili yote ikaonekana iko empy kabisa. Cha ajabu ukienda kwenye properties ya flash hiyo unakuta free memory ya 600MB. Sasa 400MB zimetumikaje wakati disk haina faili hata moja?

ukishaamua kufuta mafaili yako yote, njia nzuri ni kuformat hiyo flash, unairight click unaclick format, hapo utakuwa umeondoa kila kitu
 
1. Sometimes this infection can be solved by:

  • Going to Windows Explorer
  • Tools menu
  • Folder Option
  • View Tab
  • Choose "show Hidden Files and Folders".
  • If the files will show up, simply change the properties of the files/folders. Uncheck the "hidden" checkbox and the files will show again just like before.
2. If the above doesn't work, and your files are still hidden, do this one that will surely work.

  • Go to the command prompt.
  • Go to the drive where your hidden files are located.
  • Type the following: attrib -s -h /s /d *.* (this will unhide all your files that have been hidden by the virus) i.e. I:\> attrib -s -h /s /d *.*
 
1. Sometimes this infection can be solved by:

  • Going to Windows Explorer
  • Tools menu
  • Folder Option
  • View Tab
  • Choose “show Hidden Files and Folders”.
  • If the files will show up, simply change the properties of the files/folders. Uncheck the “hidden” checkbox and the files will show again just like before.
2. If the above doesn’t work, and your files are still hidden, do this one that will surely work.

  • Go to the command prompt.
  • Go to the drive where your hidden files are located.
  • Type the following: attrib -s -h /s /d *.* (this will unhide all your files that have been hidden by the virus) i.e. I:\> attrib -s -h /s /d *.*
 
Kwa wale ambao tunatumia public computers zilizounganishwa kwenye mtandao nafikiri wengi wamekumbana na tatizo hili: Unastukia huoni folder hata moja kutoka kwenye flashdisk yako. Alafu cha ajabu unaona .exe files zenye majina ya folders zako na icon ya folder (windows) kiasi kwamba unaweza ukafikiri ni folders!

Kuzirudisha zionekane nimekuwa nikiingia kwenye DOS, nabadilisha drive kutoka C kwenda ile ya FlashDsk; e.g. kama flash ni drive E, type E: then Enter. Baada ya hapo issue this command: attrib -s -h *.* /s /d

Folder zote zinaonekana, na-delete the .exe files manually, lakini zinarudi!!
Tafadhali kama kuna mtu anajua namna ya kumwondoa huyu kirusi asaidie! McAfee niliyonayo imeshindwa!

Niliface hili tatizo miaka miwili iliyopita, na nimetumia solution ifuatayo ambayo inafanya kazi mpaka sasa.

Cha muhimu kujua, virus wanaoficha mafolder kwenye ni wa aina nyingi but wana almost the same properties.
Pili, huwezi kumuua kirusi kwa kudelete zile folder zenye extension za .exe, kinachotokea ni kuwa virus yuko tayari kwenye system yako, therefore unahitaji anti-virus kumuondoa.

the best antivirus inayopambana na virus wa namna hii ni AVG, sijawahi ku-regret.

Solution:
1. Download and update to the latest version of AVG hapa - AVG - Anti-Virus

2. Download hii attachment na unzip kwa kutumia program kama winzip au winrar. Halafu run kill_amvo_usb_en

Inachofanya hii script:

a] Ina delete all variants wa virus wanaosababisha tatizo kama ulivyolieleza

b] Inaondoa properties zote za kuhide mafaili na mafolder kwenye computer, mafaili yote hata yale ya system (kwenye folder la Local Settings kuna files nyingi ambazo hujawahi kuyaona) utayaona. Hii ina maanisha kuwa hata yale mafaili kwenye USB folders ambayo huwa yanafichwa na virus utayaona na ku ya access.

Cheers.
 
Attachments

  • kill_amvo_virus_usb_en.zip
    1.7 KB · Views: 35
Back
Top Bottom