bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Hawa wanatujambisha tu waseme ndege iliyopakwa dhahabu au yenye nakshi za shahabu,We dege kubwa hivyo litengenezwe kwa dhahabu halafu bei yake iwe eti bilioni 500 za kibongoNdege ya dhahabu!? Ndio yale yale ya kuchambia mikate.
Sent using Jamii Forums mobile app