mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
Hahaaa hiii ndo kanuni yangu mie, napanda ndege tu pale ambapo sina jinsi. Zile stress hapana, ndege haizoeleki bhanaDah.....ndani ya ndege iliyo angani ...abiria wengi humuamini Mungu...ikicheza kidogo tu..Mungu hutajwa sana...ukiwa una akili ya kufikiri mbali...kama si lazima ndege usipande....Ni ushauri tu