Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,840
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani Mbeya kwa kushirikiana na mamlaka ya chakula na Dawa (TFDA) wameteketeza shehena kubwa ya pombe haramu inayofungwa kwenye pakti za Plasiti maarufu kwa jina la viroba baada ya kuikamata ikiingizwa nchini kwa njia za magendo kutoka nchi za Malawi na Zambia.ITV