Viroba vya pigwa marufuku Ivory Coast

Viroba vya pigwa marufuku Ivory Coast

Mwanzi1

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
5,999
Reaction score
4,591
Serikali ya Ivory Coast, yapiga marufuku uuzaji wa pombe iliyo ndani ya vifuko vidogo vya plastiki (maarufu kama viroba). Hii ni kwajili ya kupunguza matumizi mabaya ya pombe, pamoja na kulinda afya za wananchi.


Source: BBC Africa Live

Ivory Coast.jpg
 
Back
Top Bottom