ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
Bikira kwa sababu ya geti ni shida wanaweza badilika wakiona mwezi.
Bikira iliyotunzwa kwa ajili ya mme mtarajiwa hawa huwa hawabadiliki.
Bikira kwa sababu ya kumcha Mungu huwa hawabadiliki pia.