"Virgin Again" UNAITAKAAA

"Virgin Again" UNAITAKAAA

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
71592_539789129372241_295661820_n.jpg
 
Aisee nilikuwa na mpenzi alikuwa nayo yaani ni karaha wala hufaidi ni kulalamika tuuuuu mpaka nikampiga chini.
 
The Old meee, siyo lazima uoneshe kila kitu unachokumbana nacho huko, ni ushauri tu, maana hawa 'ke' wa kwetu walio wengi wanapenda kujaribu kila kitokacho 'juu'.

Tuhurumie ndugu zako.
 
The Old meee, siyo lazima uoneshe kila kitu unachokumbana nacho huko, ni ushauri tu, maana hawa 'ke' wa kwetu walio wengi wanapenda kujaribu kila kitokacho 'juu'.

Tuhurumie ndugu zako.

Kamuzu, unaogopa kuanza upya harakati za kuiondowa?
 
Mnh! Kazi ipo! Wale mnazitafuta kila siku nadhani sasa mtazipata kwa wingi! Eeee Mchina, wahurumie wadogo zetu!
 
Hilo halinipi tabu, shida ipo kwenye madhara yatokanayo na hizo kemikali, usijekuta imeziba kabisa, nani anajuwa

Kamuzu hiyo si bidhaa ya kichina? Unatupa na kutafuta rahisi nyengine!
 
Kamuzu hiyo si bidhaa ya kichina? Unatupa na kutafuta rahisi nyengine!


Mkuu, simaanishi bidhaa, bali mtumiaji, badala ya kumletea matokeo mazuri inaweza sababisha tundu kuziba!

Ikitokea hivyo unafanya nini?
 
Mkuu, simaanishi bidhaa, bali mtumiaji, badala ya kumletea matokeo mazuri inaweza sababisha tundu kuziba!

Ikitokea hivyo unafanya nini?

Si ndiohivyo tena! Unatafuta mwengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom