Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,224
Hivi kuna kifungua kichwa kizuri bila kiporo. Asubuhi umeamka zako baada ya kuswaki muda wa chai ukute wali maharage wa jana na chai ya rangi yenye mchachai wajameni. Hizi ndo chai za kibabe huwezi kuzipata kule magetini isipokuwa huku kwetu uswazi eti. Eti chai cha blue band au jam unataka uone maajabu gani saa tano njaa hadi machozi yanatoka🤣