Vipodozi vya Victoria's Secret

Sihitaji kutumia vipodozi vya VS. Majuu kwanza wala si big deal kihivyo.

Na Kisura wangu hatumii yaho madudu ya bei rahisi. Anatumia L'Occitane (huwezi hata kulitamka wewe na wala vumbi wenzio)

Tobaaaa....
 
All the best mdogo wangu. Biashara ya vipodozi Tz inalipa
 
madame zero unapatikana wapi hebu njoo PM....
 
Last edited by a moderator:
Wengine tunapreffer our natural skin bila machemical yoyote and still we looks more than HOWT.........OMG
Wish u luck
 
Nitajie kiasi unachotaka na bei uliyo tayari kutoa.
Pia taja aina ya vipodozi, kama body/facial foot cremperes, body mists, make-up kits, nail polish, color,.
Nielezee preference yako kama ni individual au gift sets, pia niambie line gani ya victoria secrets.
Niambie target yako uswazi/kinondoni type au wadada vibosile maofisini/ dodoma.
Au kama unataka nikupe ushauri niambie angalau target group na ukubwa wa mzigo roughly.

Thats what I do, holla at me!!
 
Wana mawakala kama ilivyo kwa oriflame na forever




Kipindi cha nyuma nilikua natumia body splash ya Victoria...nilipenda,kuhusu vipodozi vingine mie sijuiii, uso wangu ni wa mafuta so natumia cleanser ya neutrogena,imetokaa...mengine thijuii
 
Last edited by a moderator:
Madam zero una very sexy? Na kama unayo unauza bei gani?

Hapana my dear hiyo imekwisha hapa nimebakiwa na flavour ya ,passion truck,aqua kiss,pear glace,sheer love,coconut passion,sensual blush,true escape,vannila lace,na perfyu za kim,rihana,beyonce,lady gaga nk nauza efu 35,original
 
thax w@charminglady kwa kuniita. ila mambo ya vipodozi mie ni bonge la mshamba....

Unaonekana aisee, hata jina linaonesha.

BTW, jina lako linafanana na DEMBE wa The Blacklist.
 

Mkuu, nitajikita sana na body mist, splash na perfume kwa mwanzoni, pia nitataka kwa individual not gift set. Target ni kwa wadada / wamama wa maofisin.

Mtaji ni kama 1m hivi....
 

siyo wewe umtajie bei uliyo tayari kumuuzia?!!!
 

i wish a could help ila kwa upande wa vipadozi daaa mimi mshamba shosti ila usideal sana na watu wa kkoo cos vipodozi vingi ni feki kama hujui kukagua.
ila biashara ya vipodozi inalipa sana
best wishers
 
Mkuu, nitajikita sana na body mist, splash na perfume kwa mwanzoni, pia nitataka kwa individual not gift set. Target ni kwa wadada / wamama wa maofisin.

Mtaji ni kama 1m hivi....
Gotcha, nitarudi na info
 
siyo wewe umtajie bei uliyo tayari kumuuzia?!!!
Rule number uno, don't let nobody know how much dough you own ... cos the cheddar brings jealousy....... -Biggie Smalls, Ten crack commandments.

Usijue faida yangu na sitaki nijue faida yako. Thats how it goes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…