CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Sasa kumbe na watu wa mavumbini wanahusudu mambo ya Kimarekani halafu kutwa kucha kujifanya kuongea mbovu dhidi ya wabeba maboksi:smile-big:
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Wadada/ wamama mliopo humu jukwaa ni kujeni hapa tafadhali............ Hata kama hujui ila pitia hapa unaweza toka kitu!!!!
CC: Paloma, Ennie, Lisa, gfsonwin, cacico, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point, Nivea, Tina, lara 1, King'asti, Asnam, Elizabeth Dominic, Munkari, MankaM, Heaven on Earth, marejesho, Preta, sweetlady, Passion Lady, Lady doctor, atug, DEMBA, Vaislay, ladyfurahia, Kaunga, Neylu, miss chagga, sister, miss neddy, Zion Daughter, Nivea, Sista, Munkari, Chocs, Surprise, ICHANA, Nyamayao, KOKUTONA, Arabela, amu, Avemaria na wengineo!
Jaribu ebay dada utapata
thax w@charminglady kwa kuniita. ila mambo ya vipodozi mie ni bonge la mshamba....

Kumbe mnapenda vitu vya Kimarekani eeeh....
Well, dakika mbili kutoka nyumbani kwangu kuna duka la VS. Na hapa mjini yamejaa tele.
Sijawahi kuingiamo. Najua wanauza intimate apparels etc.
Sasa kumbe na watu wa mavumbini wanahusudu mambo ya Kimarekani halafu kutwa kucha kujifanya kuongea mbovu dhidi ya wabeba maboksi:smile-big:
Habari za jioni mabibi na mababu wa jukwaa hili.........
Nauliza wapi ninaweza kupata Vipodozi vya Victoria's Secret kwa bei ya jumla kwa Dar Es Salaam.
Na je nje ya nchi huwa vinapatikana wapi mwenye kujua ama mwenye uzoefu navyo tafadhali anijulishe.
Wasalaam CL
Kwa hiyo ni kwa ajili ya wamarekani tu?...kama mtu unabeba box na huwezi kutumia hizo vitu ni matatizo yako wenzio huku mavumbini hawabebi box na wanatumia.