Vipimo vya Malaria

monaco

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,184
1,761
Wakuu habari,
Naomba Kuuliza:
Hivi kwanini Hospital nyingi kubwa kama TMJ,Rabininsia,Masana nk no nk
Huwa wanapenda Kupima malaria kwa Kutumia kipimo cha MRDT?
Kile kinachotoa majibu baada ya Dakika 5.
Wakati majibu Mengi huonyesha malaria Hakuna,Wakati unaumwa na Ukienda Kwenye Dispensary wanaotumia Microscope yaani Darubini itaonyeshwa malaria rings 2,3 nk.
Na Unakuta unaumwa Kweli!
Kwanini Hospital kubwa hawataki kutumia Darubini?
Wanataka Fasta fasta?
Hii Mimi imenikuta sana na jamaa wenzangu wengi imewakuta sana wakiumwa wakienda kupima hawana wakienda Dispensary wanaotumia Darubini wanakuta Malaria IMO!
Cc:
Sky Eclat
 
daaah its true, wataalamu watuambie hili, last week nilienda dispensary nikaambiwa nina malaria, but nikatoka nikaenda Marie stopes nimeambiwa sina malaria.

nimeishia kuchanganyikiwa tu now! sielewei nibebe lipi niache lipi
 
Hizo hospitali zote ulizotaja kuna box la maoni, kuna contacts zao, unaweza kuwauliza wao pia
 
Hilo ni tatizo la nchi nzima, sijui na vipimo vya HIV navyo viko hivo???!
 
Back
Top Bottom