vipimo kujiunga na jeshi

nysku

Member
Oct 31, 2018
37
8
hivi ni vipimo gani muhimu huangalia ili ujiunge na jeshi uzito wa mtu nao unamata sana
 
Wanaangalia pia kama una marinda au hauna .

Unabinuka kidogo halafu tunakuambia kohoa .

Halafu sisi kazi yetu kuangalia tundu .tukiona

Hauna marinda tunakupa doso LA haja mzalendo

Unabeba begi lako kichwani unarudi kwenu
Baba wee mbeaa..
Mwache akakutane navyo huko huko ukimwambia hivyo ataona unamtania
 
Wanaangalia pia kama una marinda au hauna .

Unabinuka kidogo halafu tunakuambia kohoa .

Halafu sisi kazi yetu kuangalia tundu .tukiona

Hauna marinda tunakupa doso LA haja mzalendo

Unabeba begi lako kichwani unarudi kwenu
uzito kuanzia ngapi au huwa hawaizingatii sana
 
Mmmmh uzito sina uhakika kikubwa ni zile sifa za kishule/taaluma wanayoihitaji na umri
 
hivi ni vipimo gani muhimu huangalia ili ujiunge na jeshi uzito wa mtu nao unamata sana

Achana na yote hayo kama unaweza Kukimbia Uwanja ule wa Taifa ( kwa Mchina ) raundi 35 kwa Spidi ya Mwanariadha Bingwa wa dunia Usain Bolt na ukazimaliza na hata ukiambiwa uunganishe zingine kama 13 hivi ukaenda tena na ukawaongezea na zako binafsi 9 basi Ajira Kwako ' Ujedani / Jeshini ' huko iko wazi na umeula Mkuu zaidi ya hapo usipoteze muda wako na endelea tu Kuuza zao Matikiti na Supu ya Pweza hapo ulipo.
 
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom