Na mm mkuu nipo tu sijatoka wala nn.Nilifikiri peke yangu ndio nipo geto
ilikua ikiitwa maisha club kipindi iko kule oysterbay. Mi najua maisha basement haipo pale makumbusho imehamia mwenge na jina wamebadili wanaiita life club. Ndio maana nashangaa. Nirekebishwe kama siko sahihi
Aha shukrani. Mikocheni ipi nipatembelee keshoBasi Kama ni hivo nadhani huyu atakuwa amecopy jina au ni tajiri mmoja hii ipo mikocheni but ni mpya
Pita road ya mkabala ya nursery ya fedha unanyooka nayo moja kwa moja utaona bangoAha shukrani. Mikocheni ipi nipatembelee kesho
Itabidi nikurudie hapo Aisee, mcheki member mmoja Yuko hapo " viatu vya samaki" nimetoka mda SI mrefuCalabash.
Hii ndio nasikia kuna wanawake wauzao miili yao? Ni kweli?Kiwanja cha nyumbani kino garden
Mkuu unataka?Hii ndio nasikia kuna wanawake wauzao miili yao? Ni kweli?
Nimeuliza tu. Napendaga kuwaangalia kuosha machoMkuu unataka?
Hahaha wewe utakuwa mteja waoNimeuliza tu. Napendaga kuwaangalia kuosha macho
AsantePole sana.