fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 687
- 179
Buckets hapa masaki
Nipo ukweni navuta bhangi na Baba mkwe.




Nipo corner baa navizia totozMi niko zangu hapa Uzunguni muda huuu namendea mendea nitoke na vimada wawili nikapige three some,
Akiba niliyonayo ni 50K kila kimada anakula 25K mpaka Asubuhi.
Nimeshapiga wine yangu ya Dompo akili imeshakaa sawa nasubiri muda tu nisepe nao.
Kabisaaa
Kweli ulipata bamkwe kilaza
Hivi navyoelewa Mimi auNavua nguo
Duh! Mkuu napajua hapo.Ikwete lodge vikindu
Ngoja uje ung'olewe taya.Kupigana sio nguvu mda mwengine ujanja nimempania hapa nishaandaa siraha za maangamizi zipo mvunguni mwa kitanda.
Nani huyo?bas kuna nafasi happ
Mkuu umezoea maisha club tu, viwanja kila kukicha vinajengwa town....Maisha basement?
Aisee nakutamani wakati mimi nipo alone na baridi hiiMi niko guest fulani zangu navua
ilikua ikiitwa maisha club kipindi iko kule oysterbay. Mi najua maisha basement haipo pale makumbusho imehamia mwenge na jina wamebadili wanaiita life club. Ndio maana nashangaa. Nirekebishwe kama siko sahihiMkuu umezoea maisha club tu, viwanja kila kukicha vinajengwa town....
Kiwanja cha nyumbani kino gardenNipo masai pub navizia totoz